@Sativa255 Tatizo ni afya ya akili unakuta unakuta mtu hauzi kutokana na thamani ya nyumba ila anauza kwa kuangalia ukinunua nyumba tu umemaliza kingine ni udalali, dalali tu wa chumba akikupa chumba cha laki mbili anataka umpe kodi ya mwezi moja je kwenye nyumba atataka apate kiasi gani