Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
MASOMO 4 MAKUBWA YA UONGOZI KUPITIA Dr DANQUAH na KWAME NKRUMAH.
Joel Arthur Nanauka
13.05.2025
Mwaka 1947 kikundi cha watu ambao wengi walikuwa wameelimika na wengine wafanyabishara, wakiongozwa na Dr Joseph Danquah waliunda chama chao cha United Gold Coast Convvention nchini Ghana.
Ili kukipa nguvu waliamua kuajiri mtu “full time” atakayefanya kazi ya uratibu.
Wakati huo Kwame Nkrumah akiwa ameishi nje ya Africa kwa miaka 12 na alikuwa ameshamaliza digrii kadhaa katika Uchumi na Falsafa nchini Marekani.
Alihamia Uingereza ili kusoma tena sheria ila hakuweza kuendelea kwa sababu alijikuta anavutiwa na siasa zaidi. Akajihusisha na mijadala kwenye maeneo ya kahawa na akaanza kujulikana sana.
Kwa sababu hii, jina lake likatajwa na Dr Joseph Danquah akagundua ni
Mtu anayeweza kumkuza zaidi kwa kumrudisha nyumbani na kumpa kazi kwenye chama chao.
Alifanikiwa kurudi, ila baada ya miezi 18 tu alianzisha chama chake baada ya kutofautiana kimawazo na waliomrudisha ghana. Akaanzisha chama chake cha Convention People’s Party (CCP). Akaingia kwenye uchaguzi mkuu, chama chake kikashinda viti 34 kati ya 38 vilivyogombaniwa, Dr Danquah na chama chake wakipata vilivyobakia.
Kwame na CPP wakaunda Serikali. Unayaona yafuatayo:
1) Kila mtu anahitaji mtu kama Dr Danquah, ambaye ataujua uwezo wake na atampatia nafasi. Unaweza kuwa na uwezo ila unahitaji mtu Aliyetangulia tayari KUKUTAMBULISHA.
2) Aliyekusaidia kufika JUU kuna uwezekano mkatofautiana. Sio kila mtu anapata bahati ya kumaliza na aliyemtambulisha. Ikitokea hivyo sio mwisho wa safari, songa mbele.
3) Inawezekana aliyetambulishwa akaja kuwa MKUBWA zaidi kuliko aliyetambulisha. Kwame Nkrumah alikuja kuwa Rais na anajulikana dunia nzima, Dr Danquah hajulikani sana.
4) Kwame alianza kutumikia ndoto ya wengine kabla ya kuanzisha yake. Usiogope kuanza chini na kufanya kwa wengine, inawezekana ikawa njia ya kujifunza na KUJIJENGA. Wakati wako unakuja.
See You At The Top
@JoelNanauka
#TIMIZAMALENGOYAKO
@kaji_sijo Kitu kikubwa nimejifunza hapa alianza na mtaji mkubwa sana pili conection za familia zilimsaidia kutoboa kwa maana saizi nchini ukitaka kutoboa pata kibari cha kuagiza sukari, lakini hiko kibari sio rahisi kwa mtoto wa kapuku kama mie kukipata, kwahio tujitahidi kuokoa wanetu.
@ayubu_madenge@Brice_phbrx Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@ChademaTz@mbonika_sh63304 Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@UNICAForg Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@sugarbabe_255@Brice_phbrx Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@Mkunga_Og Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@Gbalid_onvibe @Thapz__ Pigia Kura *Mbellas Hevenly Cakes* awe Mshindi wa Tuzo ya MWANAMKE Chuma!!
Fungua hii Link https://t.co/QpazmR41Bq
Nenda *MWANAMKE CHUMA SEKTA YA KEKI*
Kisha Gusa Palipoandikwa *Mbellas Hevenly Cakes*
*Sambaza Link*
@jcniyomugabo Tanzania The great Serengeti, Kilimanjaro, Tanzanite, great lakes, Ngorongoro, Mikumi, Udzugwa falls, Kitulo the garden of God. The masai, Mikumi Tarengire, Ruaha.