@IdrisSultan Blaza pamoja na maumivu ya bluetick, i pray Mungu akupe tulizo! mimi naomba support yako ya ku retweet my 'profile tweet' iko hapo juu pinned! Umlete na wifi yetu pia aje apendeze kwa Eid kesho! I promise hatutampost π @IdrisSultan tag na warembo wa twitter waijue
Pia utakapokuwa ukipatiwa huduma salon kwetu, utaburudika kwa vinywaji kama wine, kahawa, chai, soda, champagne, maji, chocolates.
Tunapatikana Kijitonyama nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na jengo la LHRC.
Au tupigie 0777526297