Top Tweets for #hapana

Sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali anasema uwongo hadharani. Wengi hao wapi waliopiga kura? Vituo vilikua vyeupe, kura feki nyingi ziliingizwa kwenye masanduku wazi wazi. Sasa hawa watu waongo kabisa ndio wa kusimamia sheria? #Hapana.
VIDEO:
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonesha kwa dhahiri kuwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo leo tarehe 13 Novemba, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akitoa maelezo ya Serikali kuhusu hoja ya kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu, na kusoma Azimio la Bunge la kumthibitisha Waziri Mkuu ambapo ameeleza kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, Dkt. Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi ndiye aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mi Wanangu hawawezi score F, tena ya Civics🚮.labda kama nyie mmekubaliana awe mwenzenu 😅😅 Mi #HAPANA
Tukiwaambia madogo someni hamskii ona mwenzenu F ya Civics imemponza😂😂😂😂😂
It’s easy to lower the price of fertiliser when it’s a grant from Russia and the balance is fake… @johnallannamu #Hapana
This morning President @edmnangagwa has declared a National State of Disaster due to the El Niño-induced drought that's facing Zimbabwe and Southern Africa
#hapana anofa nenzara
#Zimbabwe is in safe hands

Huwa najitazama kwenye kioo kila asubuhi na kujiuliza..
"Kama leo ingekuwa siku ya mwisho ya maisha yangu, ningetaka kufanya kile ninachotaka kufanya leo? Na wakati wote jibu limkuwa #Hapana kwa siku nyingi sana mfululizo, hivyo imenifanya nijur ninahitaji kubadilisha kitu.Gmorn
@DenisMukwege Prix Nobel de la paix, candidat nr 15 à l'élection présidentielle du 20 décembre 2023
#LeoNjo #Hapana👉🏿#Kesho 🤜🏿🔥🤛🏿

Kandidati wa 15 wa uchaguzi ya tarehe 20/12/2023 Kongo MUHESHIMIWA💥 na MUNGANGA❤️ @DenisMukwege #Leo #Hapana #Kesho

@MalemboLE @IAMartin_ "Tuna wajibu wa kuishauri serikali"
Hii kauli yako umeiwekaje hapa ase. Huoni kama unatukosea? Serikali ipi ishauriwe? Imeshawahi kisikiliza ushauri wa wananchi?..
Hata hivyo, kuna watu wanalipwa pesa za UMMA kwa ajilo ya kutoa ushauri wa kitaalamu katika kila sekta.
#HAPANA.
Unafiki wa @ccm_tanzania kwamba Kiongozi asisemwe,asilaumiwe,asikemewe,asikosolewe kisa kila binadamu ana kasoro? #Hapana.
Kinana mwenyewe alifanyiwa Ujambazi na JPM akaufyata na wana CCM wengine wakaufyata. Je ndio kasoro hizo ?
#TwitterRepublic✊🏿
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi

Check out my single titled Save Me on YouTube today. Hit the link below to listen to the full song and subscribe if you fuck with it. https://t.co/qgzgQGC7DD
#MissionImpossible7 #Hulk #TruthSeekers #Dave #xmen #gukurahundi #rwanda #mthuli #harare #hapana #biti #trevornoah
@ITVTANZANIA Wa mwananyamala kwa kopa DSM #Hapana baadhi ya wananchi ndio vinara wa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya na wana mbinu zote za kukwepa mamlaka husika
@ITVTANZANIA wa Muleba Kagera Tz #Hapana maan Baadhi ya Wananchi ndo Watumiaji na Wauzaji wa hayo Madawa ya Kulevya, Elimu Zaidi Itolewe Kutokomeza Madawa ya Kulevya 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔.
@ITVTANZANIA wa Muleba Kagera Tz #Hapana ni Vyema na Adhabu Zitolewe maan hao Wahusika Wana njia zingine kuendelea na hiyo Biashara 😢😭😢😭😢😭😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭.
@ITVTANZANIA wa Muleba Kagera Tz #Hapana ni vyema Elimu Zaidi izidi kutolewa ili Mpango wa Lishe Utekelezwe Wilaya Zote 🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪🦪.
Ni pesa zake wataka sio @MikeSonko una haja naye. Kama angekuwa maskini ohiohi ungelimtamana? #Hapana!! Hon. Mike Sonko usianguko mtegoni.
Hey @MikeSonko najua uko na bibi, but shall we?❤️😔
Aky Mimi nakuonanga nashindwa kukula juu yako. I will repeat this until you notice me, Sonko😍

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.7M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.8M followers























