@Godfxer_fan@MsigwaPeter Nilifundishwa na mzee mmoja mwaka 2008 nikiwa Mbeya kuwa usiongee vibaya kuhusu taasisi ambayo imekulea na kukujenga hata kama unaamini imekukosea. NEVER. Hivyo bwana @MsigwaPeter, next time utakavyotoka tena, usiiseme vibaya CDM. Na pia usiiseme vibaya CCM kwa sasa. NEVER!
@Godfxer_fan@MsigwaPeter Hivi @MsigwaPeter kweli unataka kutuaminisha kuwa ulikosea kuongea haya yote hadi unarudi tena CDM? Mimi nadhani wewe bado ni mjinga..... 🤣
@EduTalkTz@Oleshangay Nakubaliana nawe. Hii nlinatoa nafasi ya watu kutumika kuharibu chama kwa urahisi sana. CDM wanapaswa kukataa re-admission ya watu wa namna hii. Ni ngumu kujua dhamira yake ni nini! Huenda ndio anakuja kimkakati zaid kuiharibu. Wamekosea sana.
@MsigwaPeter You are just a grasshopper, jumping from one tree leaf to another. Ulipohamia CCM hukuona hizo dhuluma na ukiukaji wa haki za binadamu? I would have loved CDM wakukatalie... Ninyi ndio mnaoshiriki kuharibu upinzani. Una bahati nyumba yako haikuchomwa moto kama ulivyoagiza!
@Sharb84@ayubu_madenge Nilitegemea kama kweli ana mpango wa kumrithi baba yake awe ameona umuhimu wa kuanza kuimarisha mahusiano yake na uganda kwa nchi jirani. Lkn anatoa kauli za hovyo ambazo hata "kuruta" hawezi kuzisema. Yet he is a "General".
@Sharb84@ayubu_madenge His cartel keeps him in power but kimsingi alitakiwa apumzike. Kama kweli huyu mtoto wake atamrithi, I guess atagombana na nchi jirani zote.
@kazikwanza@millardayo Yaaaha hawajaiweka vzr kbsa. Then kuna mahali wanasema "Watuhumiwa waliweza kuonyesha mwili", ni watuhumiwa wepi kwani toka mwanzo hakukuwa na habari ya watuhumiwa...
@tanpol Mkomeshe utekaji, watafuteni waliotekwa; Mdude na wengineo ambao hawajapatikana mpaka sasa.. Jukumu lenu kubwa ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Hatutaki kuamini kuwa hamuwajui waliofanya utekaji/mauani na kwamba hamuwezi kuwakamata... Ni Watanzania hawa kama sisi.
@tanpol Tafadhali @tanpol watafuteni Watanzania waliopotea, akina Mdude na wengine na kuwakamata wale wote waliohusika ktka kuwateka. Ni jukumu lenu kufanya hivyo. Wale ni Watanzania kama sisi.