๐๐๐๐๐ "๐๐" ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
Injili ni habari njema kwamba Mungu aliupenda ulimwengu, akamtoa Mwanawe Yesu Kristo kwa ajili ya dhambi zetu, ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele (Yohana 3:16; 1 Wakor. 15:1โ4).
Zifuatazo ni KWELI kumi na mbili (12) za Injili ya kweli:
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ข๐ง๐๐ฐ๐๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ: Yesu alisema, โRoho wa Bwana yu juu yanguโฆ amenitumaโฆ kuwatangazia wafungwa kufunguliwaโ (Luka 4:18).
๐ Injili ya kweli haiwafungi watu; bali huvunja kila nira na kuondoa utumwa wa dhambi.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐จ ๐ง๐ ๐๐จ๐ก๐จ: Mtu huzaliwa upya kwa Neno la Mungu na kwa Roho Mtakatifu (Yohana 3:5โ8; 1 Petro 1:23).
๐ Injili ya kweli haibadilishi tabia kwa juu juu tu; hubadilisha maisha kutoka ndani.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐ฎ๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐๐ญ๐๐จ ๐ฐ๐จ๐ค๐จ๐ฏ๐ฎ: Paulo alisema, โInjili ni uweza wa Mungu uletao wokovuโ kwa kila aaminie (Warumi 1:16).
๐ Injili ya kweli si maneno matupu; ni nguvu ya Mungu ya kuokoa.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐๐๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๏ฟฝ๏ฟฝ ๐ก๐๐๐ก๐ข (๐ฌ๐ญ๐๐ญ๐ฎ๐ฌ) ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ: Ndani ya Kristo tunafanywa uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu (1 Petro 2:9โ10).
๐ Injili ya kweli humtoa mtu gizani na kumuingiza katika utambulisho mpya ndani ya Kristoโฆ Balozi wa Yesu!
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐ก๐จ๐๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐๐จ: Yesu alimshinda Shetani aliyekuwa na nguvu za mauti na kuwaweka huru wale waliokuwa utumwani kwa hofu ya kifo (Waebr. 2:14โ15).
๐ Injili ya kweli haileti hofu; bali huleta ujasiri, ushindi na uhakika wa maisha ya sasa na yajayo.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฉ๐จ๐ง๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข, ๐ง๐๐๐ฌ๐ข, ๐ง๐ ๐ซ๐จ๐ก๐จ: Yesu alizunguka huku na kule akitenda mema na kuwaponya watu (Matendo 10:38); Injili pia hubeba uponyaji na urejesho wa nafsi (Zaburi 103:2โ3).
๐ Injili ya kweli huponya maisha kwa ujumla wake.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฅ๐๐ญ๐ ๐๐ฎ๐ซ๐๐ก๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ฒ๐๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐๐: Kulikuwa na furaha kubwa kwa watu walio-hubiriwa na kumpokea Kristo (Matendo 8:5โ8). Towashi wa Kushi alipoamini, aliendelea na safari yake akiwa amejaa furaha (Matendo 8:39).
๐ Injili ya kweli huleta furaha, si mzigo wa dini tupu.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ง๐ฎ๐ ๐๐๐ฌ๐ฎ ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ญ๐จ ๐ฉ๐๐ค๐ ๐ฒ๐๐ค๐: Paulo alikemea roho ya kuwainua Watumishi: wengine wakasema, โMimi ni wa Pauloโฆ mimi ni wa Kefaโ na akawauliza, โJe, Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu?โ (1 Wakor. 1:12โ13).
๐ Injili ya kweli humtangaza na kumsifu Yesu Kristo, si mtumishi aliyeihubiri.
๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฅ๐๐ญ๐ ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ: Yesu alisema, โMtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huruโ (Yohana 8:32).
๐ Kweli ya Kristo ikihubiriwa, hukata minyororo ya hatia ya dhambi, laana zinaondoka, na tunakuwa na uhuru na ujasiri kwa kumkaribia Mungu.
๐๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ ๐๐๐ฌ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ฃ๐ข๐ ๐ฉ๐๐ค๐๐ ๐ฒ๐ ๐ฐ๐จ๐ค๐จ๐ฏ๐ฎ: Yesu alisema, โMimi ndimi njia, na kweli, na uzimaโ (Yohana 14:6). Biblia pia inasema, โWala hakuna wokovu katika mwingine awaye yoteโ (Matendo 4:12).
๐ Injili ya kweli haitoi njia mbadala; humtangaza Yesu Kristo peke yake.
๐๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ ๐ก๐๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐๐๐ง๐จ ๐ฅ๐ ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ: Yesu akasema, โWatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweliโ (Yohana 17:17).
๐ Injili ya kweli haiendi kinyume na Maandiko; bali husimama juu ya msingi wa kweli ya Neno la Mungu.
๐๐. ๐๐ง๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ก๐๐ข๐ฎ๐ณ๐ฐ๐ข: Yesu alisema, โMmepewa bure, toeni bureโ (Mathayo 10:8). Paulo alisema, โHatufanyi biashara ya neno la Munguโ (2 Wakor. 2:17).
๐ Injili ya kweli si bidhaa ya kuuzwa; bali ni neema ya Mungu inayo-tolewa bure.
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐!!
Reve,Dr Nzogere.
Surely hii nayo ni hoja ya kukupa kura huko kwenu ? Surely?
Unataka kusema Tundu angekosa Nyumba ya kuishi Dodoma ?bila hiyo Nyumba surely?
Kwani wabunge wote wachadema walikaaa wapi?
Bwana kaka vipi ?
UPDATE KESI YA UGAIDI - VIONGOZI WA CHADEMA KIGOMA:
Kesi ya kupanga vitendo vya kigaidi inayomkabili mwenyekiti wa chadema Mkoa wa Kigoma, Rajabu Bujoro na wenzake 4 imetajwa leo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma.
Upande wa Jamhuri wamedai upelelezi haujakamiliki. Watuhumiwa wamejeshwa Mahabusi ya Gereza la Bangwe Kigoma hadi tarehe 22/12/2025 saa tatu kamili Asubuhi.
Shukrani za dhati kwa wananchi wa Kasulu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti.
Asante pia wakili Thomas Msasa kwa kufika Mahakamani kuungana nami. Nawashukuru pia wananchi mnaopiga simu na kutuma jumbe za kutambua jitihada zinazoendelea kuchukuliwa kuhakikisha watanzania wanatumia haki yao ya kikatiba kufanya siasa bila kubambikiana kesi.
Mimi kama wakili, ninapata nguvu ninapowaona wateja wakiwa na molari, wanatabasamu na kuniambia, โwakili huu uonevu utaisha siku moja, waambie watanzania tuko imara sana na hatuteteleki, mapambano ya kudai haki yaendeleeโ
Tukutane Kigoma Mahakamani, tarehe 22/12/2025, kupigania haki ya viongozi wa Chama chetu.
RAI: MADENGE USIWE NDUMILAKUWILI
Tupo kwenye โNyakati za Mashakaโ kwa sasa, na kwa gharama yeyote ile, hatupaswi kuleta MZAHA au UZEMBE kwenye Matamko, Misimamo na Mawazo ambayo tunaya share kwenye public.
Watu wamepoteza Maisha, Haki na Uhuru wa Watu umepokwa, nk. Ni vyema kuchagua upande, na kusimama uhesabike!
Sijui nani ni Agent, Double Agent, Kalipwa, Katumwa, nk, ila Jitahidi tujue wewe ni nani kwa matendo na mwenendo, as well as categorical stance!
Ni muda wa Direct Talk & Unequivocal Statement. In all honesty, hata style ya Peter Madereka ya kutumia SATIRE, in this time, sidhani kama ni sahihi, maana a HEADLINE of a Satirical Parable can make irreparable damage to a layman who lost a loved one! Tuwe makini; tusi sugarcoat kitu..
Twitter sio ngeni pia kwamba ujitete ulikuwa hujamaliza kuandika unachomaanisha, iwe by mistake au on ourpose, a little mishap can enable the enemy kwa ku-push their NARRATIVE. Ila kama wengine ni kweli โmpo kaziniโ kwa niaba ya KITENGO, basi kuweni Makini pia msichanganye hizo account zenu. We understand, inabidi mleโฆ ila msiteleze mbele yetu ambao tumeanza kushinda njaa, kutengwa na familia, kupokea vitisho vya maisha, na tuliofiwa.
TRUST & REPUTATION zinazochukua miaka kujengwa, hubomoka kwa siku moja tu na kujenga tena might take FOREVERโฆ if at all.
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri ๐ฃ๏ธ๐ฅ
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
โ๏ธ Usihudhurie show zao.
โ๏ธ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna โstarโ anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: โSichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.โ
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu ๐๐Hakuna tena โniaje niajeโ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu ๐๐๐๐ One Love manโค๏ธโค๏ธ
*1 Yohana 3:8*
Atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.
@EsirEid Huyu mwaka 2010 nilimwambia waziwazi wewe ni KIBAKA, baada ya kuharibu uchaguzi wa Jimbo la Mvomero alimuengua mgombea aliyekubalika sana na wananchi akapewa rushwa ya ml,70 na aliyeshika nafasi ya pili. Ccm wakachukua lile Jimbo. Nilimwambia wewe ni KIBAKA mpaka leo sina ham nae
Tanzania yakashifiwa vikali:
Mashirika yawataka mabunge kuwajibisha Tanzania
Wanataka waliowatesa Mwangi na Atuhaire waadhibiwe
Wanataka Tanzania kuwajibikia dhulma na ukatili
Wanaharakati pia wanataka waathiriwa wapate fidia
#SemaNaCitizen@mwanahamisi254
Mchungaji Matatani Tanzania:
Kanisa la Glory of Christ laondolewa kwenye sajili
Hii ni baada ya kiongozi wake kukemea utekaji nyara
Josephat Gwajima alilalamikia mateso ya Mwangi na Atuhaire
Tanzania yasema Gwajima anachochea wananchi wa Tanzania
Gwajima pia ni Mbunge wa eneo la Kawe huko Tanzania
#CitizenNipashe
@ItsKamala Kinachosikitisha zaidi yule dogo ameoa na anaishi nyumbani kwa Mwamba... hana mishe yoyote hapa mjini wala Machame, sijui atamtegemea mwamba mpaka lini Jumlisha kufeli Chuo HASARA
Tundu Lissu Kizimbani:
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania afikishwa kortini
Mwanasiasa huyu ashtakiwa kwa kosa la uhaini
Amefikishwa kortini kisutu chini ya ulinzi mkali
#CitizenNipashe@swalehmdoe