@BasikitiPr68320@MickyJnr__ When they are at their prime, they call themselves Arabs, but when things turn against them, they change like chameleons into Africans. As long as I am African, I don't take that.
Shida ya Putin kinaponuka huwa hana msaada kwa wanaomtegemea…Maduro wa Venezuela alinyakuliwa na Trump kama kifaranga, Asad wa Syria zilimuokoa mbio kule Damascus!
#FREELISSU
GIRISHONI alisema hata bila misaada ya MABEBERU kutoka nje tunaweza kujiendesha kama nchi mbona leo anatoa MILIO.😭😂
EU wanataka nini kwani ili wawape misaada?
1. FREE TUNDU LISSU.
2. UCHAGUZI URUDIWE (UCHAGUZI WA UHURU NA HAKI).
3. ACHENI UTEKAJI.
4. HAKI NA USAWA KWENYE SIASA ZA TANZANIA.
5. UCHUNGUZI HURU WA MAUWAJI YA MAELFU YA WATANZANIA MO29.
Haya mambo matano yanaugumu gani kuyatekeleza? Hivi vilio vyenu ni sawa na kumpigia MBUZI GITAA. Watu wanataka HAKI YA KWELI IKITENDEKA NDANI YA NCHI SIO KANJANJA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Samia ujapata AirBnB huko Rusia !?
Kwa kuwa umefanikiwa kufika huko hili ni Zari la mentali bora upotee maana
— Marekani wanakupumulia hapo kwa karibu sio muda unapigwa mtama
— Nchi za ulaya nazo zinakunyatia
— Sisi wananchi tunakutoa nduki 77
In a recent conversation with President Trump, I affirmed my support for a deal with Iran that accepts President Trump’s demand to open up the Strait of Hormuz and start negotiations about forever ending their nuclear ambitions and support for terrorism. I have confidence that at the end of the day, President Trump will not agree to a bad deal with Iran.
On a separate front, it is my belief that we must allow Israel to neutralize the threats the country faces from constant Hezbollah attacks emanating from Lebanon. There are parts of Israel that are uninhabitable because of Hezbollah missile and rocket fire.
It would be unconscionable to ask Israel to accept a ceasefire with Hezbollah given Hezbollah’s stated desire to destroy Israel and their constant attacks. Any ceasefire with Hezbollah would allow them to re-arm and become stronger. In my view, there must not be any linkage between an Iran deal and Israel’s ability to fight back against Hezbollah’s unceasing aggression in Lebanon. As to Hamas, how much longer are we going to give them to disarm? Let Israel finish them off.
Any deal with Iran that restricts Israel’s ability to fight back against Hamas and Hezbollah would be unwise.
OH MY 🤯
Look at these incredible scenes from Iran!
Islamic Republic DOES NOT want these videos to be shared with the world, and you can clearly see and hear why.
President @realDonaldTrump, these people are innocent, brave, and patriots and are counting on your help.
Sista NYAHOZA ni mkubwa kuliko MAHAKAMA?
Huyu mpumbavu kwanini tunatumia lugha nyepesi kuongea nae?
Huyu unahitaji lugha ya BUSARA kweli kuongea nae?
Unawezaje kuhangaika na na CHAMA ambacho ni SAUTI YA WATANZANIA na mkaendelea kuongea nae kwa lugha ya kistaarabu?