โOktoba 25, 2025 nilitekwa, familia yangu ilizunguka kwenye vituo vyote vya Polisi, Polisi wakasema hawajui nilipo wakati walikuwa wananishilikia kituoni kwaoโฆโ-; Joseph Mwasote
"Kuna nani nimechukua viboko kumchapa aje hapa, Bwana OCD mimi nimetangaza mkutano wamekuja wenyewe hiyo fujo ambayo Boss wenu anasema naifanya naifanya ni ipi. Kusema ukweli ndiyo fujo?. Sasa kama kusema ukweli ni fujo nitasema pasukeni, fanyeni mnachotaka."
Hayo amesema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche leo Juni 25, akiwa Mpanda mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara kama sehemu ya Operesheni Katiba Mpya Free Tundu Lissu
Hapa nisubiri tu ifike hela ya Crown nyeusi ni Cashout ๐, kwenye matreni yote limebaki hili la wanaija.
Na ndo nilijua litapinduka kabla ya mengine ila betting ๐๐
๐๐ช๐ธ Lamine Yamal: โScoring in my first game as a starter in a World Cup feels like a dreamโ.
โImagine I watched the previous World Cups in class!โ.