Mwenyekiti Tundu Lissu.
Wewe ni mtu mwema sana, Mzalendo unaeipenda Nchi yetu na watu wake kuliko hata unavyojipenda mwenyewe.
Umetoa maisha yako na umepitia matatizo na maumivu makubwa sana kwaajili ya watu wa Nchi hii.
Umedai maisha bora, ajira, maji, umeme maendeleo na matibabu bora kwa Watanzania wote.
Umedai rasilimali nyingi za Nchi hii zitumike kwaajili ya manufaa ya Watanzania wote ambao wanateswa na umasikini mkubwa wa makusudi, unaosababishwa na ccm.
Kwasababu hiyo serikali hiii ya CCM chini ya utawala huu huu walijaribu kukuua wakakupiga risasi 36 Mungu mkuu akakuokoa.
Leo watu hao hao waliojaribu kukuua wakashindwa wanataka kukufunga kwa uongo na kesi ya kubumba.
Wanaweza kufanya hivyo kwasababu mahakama ni zao na wanaweza kuzielekeza nini cha kufanya.
Kitu ambacho hawatafanikiwa ni kushinda kwa kutumia uovu na mauaji yao, kwa hakika hilo watalipia wao na familia zao.
Naomba Watanzania wote tumuombee Mwenyekiti
Tuombee Chama chetu
Tuombee Nchi yetu na demokrasia tunayoipigania.
Tutashinda.
Keep your everyday essentials organized with a sleek, compact wallet. Enjoy easy card access and a convenient pop-up design.
Link to buy: https://t.co/baCKuFRdjl
Leo Samia Yuko Uganda kuchukua maelekezo kwa Museveni kuhusu kesi ya Lissu
Hivi hii kesi mnakomaa nayo ya nini?
Lissu akiwa mtu huru kazi yake nini kama sio siasa ? na ajawahi tishia mtu yeyote kumpiga risasi wala kumuua
Kama mnashindwa kushindana naye kwenye majukwaa hilo linakuwa vipi kosa lake?
Kila mtu amepewa kalama na Mungu, uwezo wenu kwenye majukwaa ndio huo hakuna namna utaongezeka kwa kumfunga Lissu
Lissu anazungumza masuala ya wananchi, nyie mnajifanya mnahudumia wananchi, kama mngekuwa mnahudumia wananchi imekuwaje mnashindwa siasa anazofanya Lissu ?
acheni ufisadi, rushwa na wajibikeni kwa upuuzi mliofanya
Anaandika @pascomayalla
Baada ya Jana kuthibika wakuu wa Vyombo vya Usalama na ulinzi viliita kukutana kwa Siri na Ghafla Usiku wa manane
👇🏽
Kuna vitu havisemwi openly and public lakini vinafanywa for security, mfano ile ripoti ya CAG, kabla haijawasilishwa Bungeni kuwa a public document, kuna mtu anapelekewa kwanza na kuonyeshwa kuwa ripoti ni hii, akiisha iona na kuikubali, ndipo inapelekwa Bungeni.
Hata ile ripoti ya kamati teule ya Bunge ya Richmond, ile ripoti yake kuna mtu alipelekewa kwanza kabla haijatua bungeni, akiishatoa a go ahead, ndipo ripoti inatua Bungeni.
Kwa vile hii kesi ya Lissu ni kesi yenye a very big public interest, hivyo hukumu yake inaweza kusababisha matishio ya kiusalama, hivyo watu wenye kazi zao, wanaichungulia kwanza na kujiandaa kiusalama ku deal na the consequences za kiusalama, ikionekana the much anticipated security threat, might be too big to handle, then leo usiku, au kesho asubuhi, itatangazwa, usomaji wa hukumu hiyo umeahirishwa kwa sababu za kiusalama, itapangiwa tarehe nyingine, ili kuwatuliza wafuasi wake, halafu kesho hiyo hiyo saa 9:44 jioni Lissu akaletwa mahakamani, akasomewa for just 5 minutes, its over, and its safe, na akihukumiwa kuwa huru, anakuwa escorted mpaka nyumbani kwake, kuhakikisha amefika salama, na akihukumiwa kwenda jela, usiku huo huo anahamishiwa gereza la Isanga, Dodoma, ili hapa mjini patulie, watu wamekosa sana usingizi kwa siku kibao!.
Pascal Mayalla