Thread 'Media, Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Isinyamazie Kauli Hatarishi za Viongozi Kuhusu October 29, Je Zikemewe? Wakemewe? au Waachwe Tuu?' https://t.co/bwZLn7D3JD via @JamiiForums
Thread 'October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?' https://t.co/d54omFheAv via @JamiiForums
@idugunde@Britanicca0 Ibara ya 18 ya katiba inanipa haki ya kutoa maoni yangu yoyote kuhusu jambo lolote, hizo pumba, ni chakula kwa wengine!, October 29, uchaguzi ulifanyika, watu wakajitokeza kupiga kura, mshindi akapatikana kihalali, (japo si lazima kwa haki , haki na halali ni vitu viwili tofauti)
@KatibaMpyaTz_@OsloMet Sio burasa, makosa ya baba kuyahamishia kwa mtoto!. Ukiishatimiza umri wa miaka 18, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe!. Tuma, usisikilize kila kisemachwo kumhusu Baba yako, Prof. Kabudi, kwa baadhi yetu tuliopitia mikononi mwake pale UDSM, Prof. Kabudi ni mtu mwema sana!
@BubelwaKaiza Kuna vitu vya ajabu na vya hovyo nchi hii vinafanyika, usikute wala hakuna mtu yeyote aliyelalamika, bali ni vyombo vya udhibiti kufanya uchawa. Tuliitwa, tukakiri kosa, na kuadhibiwa, uzuri wa hiyo adhabu ni kwenye media tuu, lakini sisi hatukupewa onyo lolote rasmi zaidi ya PR
Asante Rais Samia Kuthibitisha Ubambikaji Kesi, DPP Anajua, Baadhi ya Ma... https://t.co/vvlMKw0QBZ via @YouTube , kweli kabisa!, Polisi wanabambikiza kesi, Ofisi ya DPP wanajua, mahakimu na majaji wanajua ni kesi ya kubambikiza na kesi inaendelea, kama hii kesi inayoendelea...
@Mwabuk2Boniface@AnanileaN Asante rais wetu wa TLS kwa kusimama na haki, ushauri: Haya mapambano ya kupigania haki kwenye mitandao, tuwaachie wananchi, sisi wenye uwezo wa kufanya kitu, tufanye kitu!, TLS mbona ina uwezo sana tuu wa kufanya kitu kupitia legal redress, tumefanya nini?. Let's walk the talk
Kinga ni bora kuliko tiba, Shime Tujitokeze kwa Wingi kuipa ushirikiano Tume ya Uchuguzi, Kila Aliyepotelewa na Ndugu, Apeleke Jina, ili Tume Ndio Ije na Idadi ya Waliouwawa, Waliouliwa, Waliokufa, na Waliofariki. https://t.co/itma9KvefA
@Mwabuk2Boniface@mwambingama Naunga mkono hoja, ila tuwache waongee, wale ambao hawawezi kufanya kitu, sisi ambao tunaweza kufanya kitu tufanye kitu, our president wa r ndogo, @Mwabuk2Boniface, TLS can do something, jee wewe na TLS mmefanya nini to help out?, tuwaache wengine wa talk, and let's do the walk