@PMadeleka Habari Wakili Msomi. Naomba msaada wako. Mtoto ambaye hajafikisha umri wa miaka 15 akiwa anatumiwa na majambazi kufanya uhalifu anaweza kushitakiwa pamoja na watu wazima?
@pascomayalla@KatibaMpyaTz_@OsloMet Mtu mwema anaulizwa swali kama kulikuwa na vikundi vikipatiwa mafunzo ya maandamano kwa nini Tiss hawakupata taarifa anajibu utumbo. Eti hivyo ndio tume ilivyo ona.@Britanicca0