Tofautisha mtu ana taarifa za kamati kuu na machawa wanaosubiri Pesa kusukuma hashtag! Wanaumbukaga sana hasa kule @JamiiForums maana natoaga za ndani wanakanusha na zikithibitishwa wanasepa
Hujui hashtag ni biashara ya nani wakati unawatumikia akina maria kila mara? Tatizo mnabebwa na mihemko bila kujua kilicho nyuma ya kila kampeni huku mitandaoni, Leo wote mko busy na urais wa ccm mmesahau hata chadomo yenu bila kujua hiyo ni biashara ya lema na wahuni wenzie…
@YerickoNyerereT We ni Mjinga kabisa Narudia kabisa you are so dumb
Hakuna yeyote wa kuweza kunipa chochote nisukume hashtag CCM wenyewe wamehangaika sana nisukume hashtag nikagoma itakuwa mtu Mwingine ? Thubutu! Nasimamia nachoamini
Ninyi kuleni hela za mzee mbowe na CHAUMMA Mimi niko kivyangu
A kingdom toppled by its enemies can rise again but that which crumbles from within shall never stand... meza yao isikauke vinywaji.
Tembelea Bandiko langu kule @JamiiForums
Mtu kati
Urusi iko (Mabara mawili)— ni nchi ya transcontinental
1. Ulaya /Europe- Sehemu kubwa ya idadi ya watu na miji muhimu kama Moscow, St. Petersburg ziko upande wa Ulaya.
2. Asia-Sehemu kubwa zaidi ya eneo la Urusi, inayoitwa Siberia,iko Asia.Mpaka wake na Asia ni milima ya Ural.
Hivi hii project ya kusukuma hashtag hii uwa ni ya Nani ! Hamjui Bomba la mafuta hili litakuwa na manufaa kwa wananchi? Au ndo Yale ya kwamba tunapewa Pesa kutetea yaliyo machoni bila kuwaza baadae! Mi uwa Nina misimamo Yangu bila undue influence! Sioni madhara ya Bomba hili
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : Bwana MARATHON anataka kugombea tena ili aweke rekodi kuwa amekaa miaka 10, so kashaanza kutengeneza Wenyeviti wake wa Mikoa, katika Wenyeviti wa mikoa 26 waliopo sasa, Wenyeviti 14 atawala vichwa kwa sababu wanamsumbua sana.
Kumbe mnapataga Migao?
Sasa kuna tofauti gani na machawa pia?
Ndo maana Mimi naandika kwa free mind yangu! Sitakuja kutetea CCM kisa NCHEMBA kagawa hela au kutetea Upinzani kisa kuna mgao nooo! Natetea nalo Ona ni sahihi