Public accountant by profession📖, football gamer by passion⚾️🎮, and rice farmer by roots🌾. Balancing numbers, goals, and grains — one day at a time|||♡
@fintanjr_ M juzi apo nimeenda kupasuana na jamaa pale kigambona so poa nlimwagiza sim ina thamn ya 340K akaniagizia sim ya 250K nikaambiwa nirudishe wanibadilishie nimekaa week mbil sina sim jamaa ananipiga kalenda ikabidi nimfate bila yeye kujua tulipasuana vibaya sana plus kubeb na sim
@kapeto98 Mamb n meng sana kwa sis wanaume hua tunabeba mamb magum ata atusemi yanaishia moyon, unakuta mwanume ana experience baaz ya mamb ata kwa mwak mmoja ambayo mwanamke angechukua ata zaid ya mwaka kuya experience.