@markbruvv@George_Ambangil Rashford na garnacho tofauti ni rangi tu, position ndio kila kitu ndio maana alikua na goli 10+ na position ya bald guy inabidi akae dogo Lacey. Cunha Mbeumo Lacey
@hamis_abas Imebidi hadi nkupe umuhimu wa CD4 labda utaelewa HIV ndio anatarget huyo master coordinator kwahiyo hapo mfumo mzima unakua haupo coordinated
@hamis_abas Kuna sehemu ulisema kinga ni vitu vingi ulikua sahihi lakini haimaanishi kwamba CD4 zinakua na shida ila HIV yenyewe iko very specific inatarget CD4 cells ambayo inasababisha mfumo mzima wa kinga kushindwa kucoordinate ukijua kazi ya CD4 basi utapata jibu
@hamis_abas Unachanganya sana mambo sio kila immunity ikipungua basi ni AIDS halafu nimebahatika pia kufanya kazi kanda karibia zote hapa TZ wagonjwa ni wengi ARV pamoja na side effects zake zimepunguza sana maambukizi kuliko unavyodhani