@Noedson_tz Tatizo sayansi sio imani , ukifuata njia za kifizikia wanazotumia hata wewe unaeza enda huko, alianza USSR kurusha rocket akafuata mmarekani na wengine , saivi China anazirusha kwa kasi na watafanya makubwa zaidi..hawa wote hawa deal na imani ni science
@beet_kon Those who do such things often intend to offend the other side. However, that other side have some individuals who are extremely violent and are repeatedly blowing up on crowds . Ultimately, the real problem lies in extremism and fanaticism, not religion itself.
Iran imekaza sana vitani hamna kuonewa, lakini ushindi wa kweli uko kwenye negotiation.. wasimamie sunctions zote zitoke hata kwa kupoteza kiaina. Kisha warudi ndani waridhiane. Ndani ya miaka 25 watakuwa paradiso kuliko GCC , hawapaswi kujifungia kama N.K na Cuba.
@KennedyMmari Walipigwa suprise attack na maadui , mifumo yao mingi ya ulizi ikawa compromisezed , ila wale jamaa ni watu weledi sana waka pambana ku recover wakati mapambano yana endelea .. na hayo ndo matokeo ila sio kwamba wana full controll ya anga bado wana pambana ..
Raia wa Iran walimuokoa rubani wa Marekani aliyeanguka!
Kuna imani inayoongezeka ndani ya utawala kwamba wakazi wa eneo hilo walimficha na kumsaidia kukwepa vikosi vya IRGC.
@theojovi@novieverest The ideology of one side using human shields to protect machines, and the other using machines to protect human life, highlights a stark contrast. In the end, the scale of losses often reflects which ideology one believes is justified.