Ee Mungu wangu, tunakushukuru kwa kutuamsha salama na kutupa nafasi nyingine ya kuiona siku mpya. 🙏🏽
Asante kwa pumzi ya uhai, kwa ulinzi wako usiku kucha, na kwa rehema zako ambazo hazikomi. Leo naweka mipango yangu, kazi zangu na kila hatua yangu mikononi mwako.
Nitangulie katika kila jambo, nifungulie milango ya baraka, uniongoze katika njia iliyo sahihi na nilinde dhidi ya kila baya Amina. 🙏🏽❤️
MORNING X USERS
Sometimes when you dress well and go out, you won’t see anyone, but when you dress like a fool, you’ll meet your five crushes, over 10 classmates, and that teacher who said you would never make it in life. 😂
New York session is probably the easiest session to trade.
It's excellent for continuation trades.
Study the London trend.
Wait for a sweep during New York session.
Enter on a FVG.
Target opposing London high/low.
Honestly that's all you need.
Backtest it.
Mama kaingia chumbani kwangu si nikajifanya nimelala...kasimama pale pale akasema,
" Weee last seen yako whatsapp ni dakika moja iliopita, amka ukasage Mahindi""😅🫵🏾
Hii sio motivation ila ; Kila siku jitahidi kufanya kitu sahihi,,ifanye kama siku yako ya mwisho,,Rudia siku zote. Baada ya hapo Muachie Mungu. Kumbuka muda ni hazina.
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Lawena Nsonda😁🙌
Mwamba alikuwa anao uwezo mkubwa wa kuchangia mijadala kwenye redio tano tofauti tofauti.
Kwenye kutuma salamu redioni jina lake lilikuwa likitajwa mara zote😂
Kiufupi mwamba na redio ilikuwa damu damu.
Na akianza kuongea tu watangazaji redio zote walikuwa wamekariri sauti yake😁
🚨💣 BREAKING: Manchester United are closing in on Youri Tielemans deal from Aston Villa!
Deal at very advanced stages, as @David_Ornstein@TheAthleticFC report.
Villa accelerated on Johan Manzambi as Tielemans is expected to join #MUFC. 🔜