@AlfaCharles9@HildaNewton21 Kuna chuo cha mafunzo,na askari wake si wamuugano,ni miongoni mwa vikasi vya SMZ , KVZ
Munataka kuwaaminisha watu Raisi anachukuwa askari kutoka kwao. Muda in mwalumu mzuri utasema.
@eastafricatv Huyu hawezi kuwa Gaidi, watakuwa akili mnemba,kachanganikiwa,
Ili uwe gaidi, uwe muislaam, muarabu au kinyume na mzungu. Mashirika yote ya UN ni kwa ajili ya kulinda,wazungu, wayahudi na waamerika weupe.tuliyobaki ni paka wa biti hatibu.
@godbless_lema Haijawahi mwanaadamu wote kuwa na kauli moja, mfano wewe umejiweka wazi hushiriki uchaguzi,lkn kukicha unawasema wanao shiriki,kwani jambo hili wewe hali kuhusu,bado unafuatiliya kampeni za vyama,busara ungesusa kila kitu cha uchaguzi vyote ni haramu kwako. Ushauri tuuuuuuuuuuu.
@Dr_DGwajima@fatma_karume Watoto wetu hawa na khofu ya mungu,baadaye kuondoka somo la dini mashuleni,na wakimaliza masomo ya Siku huko shuleni ni tuisheni kwénda mbele hawana muda kwenda madrasa hata huku nyumbani, wako bize 24hrs,munategemeya nini kwa vijana wetu,na boding ndiyo hatari zaidi,
@AdvocateKondele Hapa kuna makosa ya kiufundi,huu ilikuwa urithi wa kimila Una fanana na mirathi ya uislaam, wasiya na mirathi ni vitu 2 tafauti,wasiya huandika kabla kifo na kwa watu maalumu, Mirathi ni baada ya kifo na hugaiwa kwa watu maalumu kwa mujibu wa daraja la uhusiyano wa mrehemu.
@MariaSTsehai@FrankItogoro Hata Tanganyika ikirudi bado malalamiko yatajitokeza tena badala ya wazanzibar watakuwa Wasukuma, kwanini wawe wao pekee wakati kuna makabila 120.
Muarubaini wapokezane makabila yote ndani ya miaka mitano ya uchaguzi.
@FatmahShokat Idea yake niyakupogezwa kwa hakuna wa kabla yaye kufanya ya mtangulizi wake,kila mmoja alikuja na https://t.co/1nhFtQ0daD hii ndiyo siri ya mafanikiyo yake katika uongozi.nb uwongozi ni kipawa na kusikiza mawazo ya wengine.