Muuaji katika maandamano ya October 29 2025, Jana alionekana Katika mkutano wa Hadhara wa @ChademaTZ2 uliokua ukihutubiwa na Makamu mwenyekiti @HecheJohn! Frame (01) na frame 02 ni Jana Njombe Mjini!!
‼️ALERT‼️
Picha ya kwanza ni mtu ambae anafuatilia msafara wa Mhe. John Heche kila anakoenda
Picha ya pili ni mtu aliyeuwa raia Oktoba 29
Sasa angalia hizi picha kwa makini, angalia mkononi hiyo bangili, angalia aina ya mavazi anayopenda kuvaa, umbo la mwili, rangi ya ngozi.
Je unaona ninachoona?
Jamaa kaendesha gari akiwa amelewa usiku wa saa saba bahati mbaya akamgonga bodaboda Ikabidi asimamishe gari huku mapigo ya moyo yapo juu. Aliposhuka akakuta jamaa bado yupo Hai akamwambia kama Sitopona naomba upige namba Hii Uwaambie kilichonikuta . Af akazima ghafla 👇👇
Huyu kijana anaitwa Emmanuel Bernard Msele na alipigwa risasi wakati wa Oktoba - familia ilifuatilia na watu walimwona akitibiwa hospitali ya Mzena ila kwa sasa wapo wanaodai kashikwa gerezani
Mwenye taarifa (hata ukiwa ni mzalendo ndani ya mfumo) ya huyu kijana anicheki DM
Otherwise huyo Mopao Tz atatueleza alipo muda si mrefu
7/7 muhimu sana kupata wapendwa wetu na kujua hatma zao!
This young man Emmanuel Bernard Msele was shot in October and his family was told that he was treated at Mzena Hospital however they never found him. Some said he is in prison but no sign of him
There are thousands of families searching for their loved ones in #Tanzania @SenTedCruz@SenatorShaheen@sfrcdems@hrw@Europarl_EN@AmnestyEARO@EU_Commission
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa inahitaji mataifa kujenga uchumi imara unaotegemea rasilimali na mapato ya ndani, badala ya kusubiri misaada.
Amesema hayo leo, Jumapili, Juni 21, 2026, kwenye harambee ya ukamilishaji wa jengo la kitega uchumi la Kanisa Anglikana Tanzania, inayofanyika katika Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu, Dayosisi ya Central Tanganyika, Dodoma.
“Mambo ya misaada yameshapitwa na wakati. Nadhani nchi yetu ilipata misaada ambapo kulikuwa na dawati linalosimamia fedha za misaada, kulikuwa na misaada ikiwemo makapu mbalimbali ya kisekta. Hayo sasa kwenye bajeti yetu hayapo tena na Rais anaendelea kusisitiza kuwa na bajeti inayotegemea rasilimali za ndani ya nchi,” amesema.
Amesema jambo hilo linapaswa kueleweka vizuri na liwe lugha na wimbo wa kila Mtanzania, huku akisema mwelekeo huo unaonekana wazi katika bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27, ambayo imejikita zaidi kwenye ukusanyaji wa kodi, magawio kutoka taasisi za umma na vyanzo vingine vya ndani.
Kizimba kilichokuwa kimejengwa Njombe Mji Mwema, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama leo na Makamu Mwenyekiti, Mhe. @HecheJohn, kimebomolewa usiku wa kuamkia leo.
‼️🚨TAARIFA KWA UMMA.‼️
19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja.
Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S. Mtatiro ni;
1. Masele Bahati Lubongeja
2. Raphael Henri Masangwa
3. John Charles Mashenene
4. Zephania Lugwisha Maduhu
Hukumu hii ni mwendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi wanaosimamia haki zao za kiraia. Tena akifanya mtu aliyewahi kuwa mpinzani wa CCM.
Wakati chama kikijipanga kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kukata rufaa katika hatua inayofuata; Tunamuomba kila mpenda haki, Watetezi wa haki za binadamu ndani na nje ya nchi;
Kuchangia kiasi chochote ili kuwalipia faini wenzetu, kwa kila mmoja kiasi cha Tsh 300,000. Wanachama wanne (4) Jumla kuu ni Tsh 1,200,000. Tunaonyesha SOLIDARITY dhidi ya wahuni.
Jinsi ya Kuchangia:
M-Pesa Namba: 0764 662 049
Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI
Samia anaua na kuteka Raia wa kitanganyika kwa kutumia @tanpol .
Polisi wanatumia nguvu kubwa kupinga maandamano kuliko kudhibiti mauaji na utekaji.
Sasa, kwakuwa Polisi, badala ya kutekeleza wajibu wenu wa kikatiba wa kulinda Raia na mali zao, badala yake mmekuwa vikaragosi vya Samia, watanzania hawatawaheshimu wala kuwasikiliza.
7/7 jiandaeni kuua au kulinda.
Baadhi ya Vijana kutoka Tanzania Bara waliodaiwa kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar hadi waoneshe vitambulisho vya Uzanzibari, wameeleza kuwa hawakutengwa wala kubaguliwa kama ilivyoripotiwa awali.
Vijana hao wamesema taharuki iliyoibuka katika eneo lao la kazi ilitokana na tukio la wizi lililotokea hivi karibuni, hali iliyosababisha Uongozi wa Hoteli kuimarisha hatua za usalama kwa kuwataka Wafanyakazi kuwasilisha vitambulisho wanapoingia kazini.
Kauli hiyo imekuja baada ya usiku wa Juni 19, 2026 Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji Zanzibar, Shaaban Ali Othman kufanya ziara katika Hoteli moja iliyopo Uroa Pongwe, Zanzibar, kufuatilia malalamiko yaliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza baada ya ziara hiyo iliyoshirikisha Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kusini Unguja, Waziri Shaaban amesema Uongozi wa Hoteli uliweka utaratibu wa ukaguzi wa vitambulisho kufuatia tukio la wizi, bila kutaja aina maalum ya kitambulisho kinachotakiwa kutumika.
Hata hivyo, Serikali ya Zanzibar imeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kuhifadhi vitambulisho vya asili vya wafanyakazi, na kuutaka uongozi wa hoteli kuusitisha mara moja. Badala yake, imeshauri matumizi ya nakala za vitambulisho au mifumo mingine ya utambuzi ambayo haitawaondolea wafanyakazi nyaraka zao muhimu.
#MillardAyoUPDATES
Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar haruhusiwi kuajiriwa au kufanyakazi ya kibarua huko Zanzibar.
Ndugu zetu wanatuchukia sana tena wazi wazi bila kificho sijui tumewakosea nini?🤦🏾♀️
Maridhiano si ya vyama vya siasa na Tundu Lissu anaelewa fika! Mtaridhiana na Taifa zima - how? Kwa kuwajibika! Mliowaua mtawajibika nao na kuridhiana nao kama mna uwezo huo!
#SamiaMustGo#CCMmustgo#TutaelewanaTu