Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.
Following the recommendations of the government regarding raising public awareness on COVID-19, we had four Doctors @DrVickyJoseph, Mary Kalleku, Neema Balige and Eshie who shared with us on myth busters, ways to talk with children about the pandemic and preventive measures.
Nahitaji nisisitize katika hili maana isije ikawa chanzo cha matatizo, lishe hii sio kwamba ndio dawa ya Corona,HAPANA. Lishe hii itasaidia kinga yako ya mwilini iimarike. Usisahau kunawa mikono yako mara kwa mara!Mkae salama na tujikinge salama!
#LisheBoraNiDawa
KINGA YETU YA MWILI
Katika kipindi hiki kigumu ambacho tunakabiliana na mlipuko wa kirusi Corona (COVID-19),sasa hivi kuliko muda wowote ni muhimu wa kujali miili yetu zaidi na kuisaidia ili afya zetu zibaki salama.
#LisheBoraNiDawa
👉🏾Maji
Sidhani kama unywaji wa maji unahitaji maelezo zaidi maana ni neno la kila siku. Kunywa maji ya kutosha husaidia kwenye kuboresha seli za miili yetu na hivyo kuimarisha kinga ya mwilini mwetu.
#LisheBoraNiDawa