Tujitahidi kuwaambia wazazi wetu neno Nakupenda ni neno tu LA kawaida na lililozoeleka masikioni mwetu ila Ni neno ambalo ni Nguvu kubwa na Lina leta Matumaini Kama walikuwa wanapitia kipindi Kigumu labda Financially, or anything...
MR&MRS Tarimo NAWAPENDA SANA❤️
Ukweli unaoumiza kuna watu watapitia changamoto nyingi kabla ya Baraka zao,usikate Tamaa wala usiogope
Baraka zako zinakuja na zitakuwa kubwa na heshima.
Damu zilizomwagika zikidai Haki na kupaza Sauti zao ,Damu Hizo zimepanda Mbegu juu ya kizazi kijacho
Kizazi kijacho kitasimamia ukweli na Haki na kukataa Uoga waliokuwa nao Babu zao na Baba zao!!!
DAR mvua inanyesha. Tena inanyesha kiustaarabu na kiungwana
With this perfect weather🌦, the significance of this historic moment shines even brighter.
Nimesoma Kemia, nakuhakikishia 100% hakuna teargas (mabomu ya machozi) inayoweza ku-react kipindi cha mvua
Mmoja ya udhaifu alionao Binadamu ni kutokujua wakati wake.
Kutokujua upi ni wakati mbaya au wakati Mnzuri kwake.
Katika kila Wakati utakaopitia mtangulize Mungu ili haweze kukuonyesha wakati ulionao mbele yako.