Ili umiliki ardhi kisheria lazima uwe na Hati miliki , kama una miliki kiwanja bila hati basi umiliki wako sio Halali
Kabla ya kununua ardhi hakikisha unafanya uchunguzi ili umiliki wako uwe salama na hakika na Huduma hii inapatikana hapa LAPEX kwa Gharama nafuu kabisa
My Mother died on 16/2/2021 after fighting with cancer for 7 years. Today episode took my emotions away, I hope the show brings awareness to our community. Tukapime jamani cancer is real @lamataleah1
1.KIMARA BARUTI
Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI"
Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam
Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400
Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement (TWIGA CHEMICAL) walipokuwa wanafanyia shughuli za kuhifadhi BARUTI za kupasulia mawe yanayotumika katika kutengenezea CEMENT
na pia palikiwa na Maghala ya kuhifadhi hizo BARUTI na Kambi kubwa ya wafanya kazi wa Kiwanda cha Cement
Eneo hilo la maghala ya BARUTI kwa sasa pamejengwa hospitali ya Wilaya ya Ubungo baada ya Kuchukua eneo hilo la TWIGA CHEMICAL mwaka 2018 baada ya shughuli ya kuhifadhi BARUTI kuhamishwa tangu miaka ya 1990
Kwa sababu ya shughuli hizo za BARUTI eneo la hapo palipokuwa na Watu wengi wanashuka Morogoro road kuingia ndani ya kambi za BARUTI kwa Wingi Mkubwa
Watu wageni wapita njia walikuwa wanauliza Wale watu (Wafanya kazi wa Twiga Chemicals) wanaenda wapi ...? wale watu (Wafanyakazi wa Twige Chemicals) wanatoka wapi
Wenyeji wslikuwa wanawajibu Wanatoka kambi ya BARUTI au Wanaingia kambi ya BARUTI
Eneo hilo likajulikana kama KIMARA BARUTI.
It's Time to say GoodBye!
Ukianza safari ya content creation, ukuaji ni kitu kinachokuja kadili unavyozidi kutengeneza contents nyingi.
Haimaanisha Content zote zitakuwa zinaperfom vizuri, ila ni kwa sababu unaongeza ufanisi katika kazi zako..
Unapunguza makosa na kuongeza asilimia za kutengeneza content kali zaidi na zaidi.
And the Good thing about it ni kwamba, X Algorithm inafahamu hili vizuri tuu. Inachukua muda kukusoma na kufahamu vizuri aina ya Contents unazotengeneza.
Algorithm ikikufahamu vizuri, utaipa urahisi kupeleka contents zako kwa watu wenye interest na niche ya account yako(Hata kama sio followers wako)
Na katika harakati hizi za ukuaji, kuna vitu utaacha kuvifanya, kuna watu utawa-unfollow, Mute au Block kabisa.
Lazima kuna vitu utavipoteza on the process and its normal(Usiogope kusema Goodbye)
Kubakia kwenye track, jiunge na community ya wadau wanafanya vitu kama vyako.
Kama ni Tech, jiunge na tech comminities, interact katika post zao na jifunze kutoka kwao ili uzidi kukuwa vizuri.
Na most important, jaribu kucheza na latest news katika industry yako.
Algorithm inapendelea fresh contents, so wekeza nguvu sana hapo.