Kuna Hali inaitwa "The lonely Battle "
Ni pale umezungukwa na watu ,lakini bado unahisi uko peke yako .
Unaongea .
Unacheka .
Unaonekana kuwa na furaha .
Lakini ndani kuna maswali mengi Sana.
Maswali kuhusu maisha yako
Ndoto zako .
Kesho yako .
Na hakuna anayejua .
Kitu cha kwanza ambacho umasikini huiba sio pesa…
Huiba imagination yako.
Unaacha kufikiria mambo makubwa.
Unaanza kupanga maisha kulingana na matatizo uliyonayo leo.
Badala ya kujiuliza ,
“Ninawezaje kutoka hapa?”
Unaanza kujiuliza,
“Nitavumiliaje hapa?”
Hiyo ndiyo DARK MANIPULATION ya umasikini .
Kuna kitu kinaitwa "unexplainable Hunger "
>>Hakina uhusiano na njaa ya chakula .
>>Ni njaa ya mafanikio .
>>Ni njaa ya kuona wazazi wako wakitabasamu .
>>Ni njaa ya kubadilisha historia yako
>>Na njaa hiyo haikuachi ulale salama mpaka uanze kuona ndoto yako ikitimia
Mwanaume akimpenda mwanamke wake kweli…
Anajivunia kumtaja.
Anathamini uwepo wake.
Anaona juhudi ambazo wengine hawazioni.
Kwa sababu kwake sio tu mpenzi…
Ni mtu anayefanya safari ya maisha iwe na maana zaidi.
Mwanaume akimpenda mwanamke wake kweli…
Anajivunia kumtaja.
Anathamini uwepo wake.
Anaona juhudi ambazo wengine hawazioni.
Kwa sababu kwake sio tu mpenzi…
Ni mtu anayefanya safari ya maisha iwe na maana zaidi.
Kuna kitu kinaitwa “Unexplainable Hunger.”
Hakina uhusiano na njaa ya chakula.
Ni njaa ya mafanikio.
Ni njaa ya kuona wazazi wako wakitabasamu.
Ni njaa ya kubadilisha historia ya familia.
Na njaa hiyo haikuachi ulale kwa amani mpaka uanze kuiona ndoto yako ikitimia.