@Labella_Mafia95 Me ninayo moja yang nch 55 nimemununua mwez wa 12,zina shida kwenye kwenye system yake ya saket yake na fund alideclare kua hiz zililosewa toka kiwandan hua inakata kata ukiwa unaangalia..me nipo najipanga hapa niimbwagie mtu nitafute TV nyngine tu
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba nikutakie kheri katika siku ya kuzaliwa kwako Mh Rais na Mama etu kipenz @SuluhuSamia ,Mwenyez Mungu akulinde na akujalie kila lililo jema katika kuliongoza taifa letu,ikikupendeza Mh Rais naomba unisadie mtoto wako nipate ajira.Natanguliza shukrani
@IAMartin_ Daa pole sana mwanangu,anguko lako lilikua jiran sana,kuna watu tulikuamin sana kumbe ni mtu wa ovyo kabisa wewe,yan hopeless kabisa sijui saiv utawaeleza nn watu wakakuelewa,yan Huna tofaut na Mlawa saiv
@IAMartin_ Aisee..kila zama na zama zake..kila lililo na mwanzo alikosi kua na Mwisho..sitak kuamin huu ndo mwisho wa watu flan flan kua na influence ndan ya mitandao hii..kweli nimeamin siasa mchezo wa kipumbavu sana