@PolycarpMDM Ila wabongo tuna matatizo sana. Kwahiyo mmeshaamua kuchukua upande kwenye hivi vita Kwa mrengo wa Imani zenu? Kizazi Cha kipumbavu sana Hiki. Ndiyo maana hatuna Cha kuoffer Dunia.
@EsirEid@ThejooJacob Kaka huu Sasa ni ugomvi. Bakwata haijamlazimisha mtu kuswali IDI siku yoyote. Wewe kama umeamua kufwata Saudi Arabia ni wewe mwenyewe TU. Bakwata wako free and fair.
@NchiAhadi Hizi ni mada za watu wenye IQ Ndogo sana. Hazifai kabisa huku Twitter. Peleka kule Insta au TikTok. Pumbavu kabisa. ETI Mungu tofauti! Mbona Hilo liko wazi haliitaji PHD. Hata shetani, Kila dini ina shetani wake.
@ABUWSUHAYLAH Basi mtume aliposema shikamaneni katika kamba ya Allah Wala msijekugawanyika alikosea? Nyinyi masalafi ni tawi la mayahudi sema hamjitambui.