Cha kwanza nitaitenganisha kwa makundi
- 200,000/= Nitaifanya kama ya matumizi ya dharura nitanunua chakula, kulipia kodi na madeni yanayonitesa na mahitaji ya msingi.
- 250,000/= Nitaifanya kama mtaji mdogo wa kazi, Naweza nikatafuta biashara ndogondogo kama vile ๐๐๐
Kununu vitu kwa bei ya jumla na kuuza rejaraja vitu kama maya, gunia la mkaa na kuuza matunda.
- 50,000/= Hii nitaifanya kama akiba sitaigusa kwaajili ya dharura.

#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
@Thereal_taivina Bro sorry sana hapa nilipo nahitaji msaada kama hutojali. Mimi nipo nyamongo lakini kwetu ni mwanza sasa hapo ninapo fanyia kazi manager alinipa ela ya vinywaji mimi kwa tamaa zangu nkasema nichezee aviator nipate mtaji bahati mbaya zaidi nimeliwa pesa yote hapa nimekimbia kazin