@AnethSissya Hahaha safi sana,mpaka hapo you know the kid you're raising. Hicho ni kipaji tayari. Hongera sana,kuna sehemu atakuwa anachota, either kwako au kwa baba yake
Hi Willie,
It's not only about cars, it goes with all services related to car industry like spare parts, accessories, lubricants, insurance, banking services, financial institutions and many more. Thanks for your good wishes. Bless
Just heard of Ndinga festival, where buyers and sellers meet, as well as getting to know about cars. I love the idea, Madalali wa bongo ni wakwamishaji wakubwa kwa muuzaji na mnunuzi. I pray it takes off
@blackboyvictor @cay__j Ukifika nicheck,tupate hata nyamachoma na kinywaji. Kuna kila kitu,sio magari tu. Hakuna kiingilio, burudani zitakuwa za kutosha
@GeofreyJulian Kama unawaingilia kweli wanaleta ugumu,lakini kama hii unawaambia leta tu gari unayouza na documents zote ukutane na mteja wako,haina shida. Wamewahi kushiriki na sio mara ya kwanza,pia nao wanaona gape zuri kujitangaza kwenye media kama clouds maana wana majina yao ya biashara