@godbless_lema Hata yuda alijua kosa lake baada ya kumsaliti YESU. Na Ngoma ya kitoto, haikeshi. Lema na mimi nakutabilia mpaka mwakani wewe hautokua mwana Chadema tunza hii.
@MariaSTsehai Polepole alisema watanzania tusikubali kufanya maridhiano baada ya UCHAGUZI. Haya maneno sijawahi hata kuyasahau. MUNGU awe nawe popote ulipo polepole uliona mbali
@Sativa255 Siasa siasa siasa sikulaumu sana wewe tatizo ww siasa bali, tatizo ni nia ya wale wanaokutumia. Siasa ukitumika kwa haki unaponya taifa na ukitumika kwa tamaa unaua taifa.
@JamiiForums Siasa Siasa siasa nimekutita mara 3 siasa umejenga barabara na shule, lakini pia umebomoa urafiki na familia.
Umeleta ahadi za maendeleo, lakini pia umesababisha chuki, umaskini na migawanyiko.nisikulaumu sana......ππ