Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ally Mwinyi, Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Dk. Tulia Akson na Rais wa Heshima Mohamed Dewji Mo," CEO Imani Kajula.
#WenyeNchi #NguvuMoja
To address extreme levels of data scraping & system manipulation, we’ve applied the following temporary limits:
- Verified accounts are limited to reading 6000 posts/day
- Unverified accounts to 600 posts/day
- New unverified accounts to 300/day
@CosmasJN Habari Asante kwa kuwasiliana nasi,tafadhali tunapenda kukufahamisha kuwa kuna bei mpya zitaanza kutumika rasmi July1, 2023. Bei hizo ni; Premium sh 165,000, Compact Plus sh 105,000, Compact sh 60,000, Family sh 37,000, Bomba sh 24,000 na Poa tshs 10,000.^Idris