Mambo mengi ya kiroho juu ya watoto hufanyika kimzaha mzaha lakini ndo yanakuwa yameshatendeka na kumdhuru mwanao.
Ni muhimu kujenga tabia ya udadisi kwa mtoto wako ili uweze kumlinda . Kiroho , kimwili na kiakili
Ulifanya watu waamini kuwa kila ndoto Ina maana na inaweza kutimia, haijalishi umezaliwa wapi au umekulia wapi. Uliwafanya mamilioni wapende football na waamini kwamba, kwenye juhudi na kufanya kazi kwa kujituma kuna mafanikio. Respect CR7, hakuna kombe lolote lenye thamani yako
Mimi najiuliza kila siku watu wakitangaza maandamano nchi itasimama hivi lazima tukubali tatizo tukae chini tulimalize.
Biashara zinasimama haya hii imeenda itatangazwa tarehe nyingine watu watakaa mitutu road nchi haiendi Hivi hata Wawekezaji wanakuwa na uoga wa kuwekeza.
Hivi mikutano ya hadhara ya vyama si ilipigwa marufuku kwa sababu za kiusalama?
Ila mikusanyiko ya jana ya Yanga na Simba leo wala hakuna uvunjifu wa amani na hapo hakuna tishio la kiusalama.
Nguvu ya nchi haipimwi kwa ukimya wa wananchi, bali kwa uwezo wake wa kusikiliza sauti tofauti na kutafuta suluhisho kupitia haki, uwajibikaji. Ondoeni hao Polisi barabarani , uncertainty kills innovation and ambience. Ondoeni sababu za watu kutaka kuandamana. Kila kona Polisi ? Nchi imekuwa ya mashaka na wasiwasi sana hii.
@godbless_lema Sasa huyu ni waziri Mkuu ana taarifa nzito Kama hizi wahusika hawajakamatwa ila anasema wamezuia mikutano lakini yeye pia yupo anafanya hiyo mikutano iliyozuiwa. Duh Tz maajabu ni mengi
Wabunge hawataki mamilioni yao yaguswe ila wanataka vijisenti vya bodaboda na wamachinga. Yaani Kila siku wachangie 1000 huku wao pesa zao zipo palepale kila siku wanachukua posho zaidi ya laki 3.
Hii nchi ina viongozi wabinafsi sana hasa wabunge