Siku moja kila mmoja wetu atahesabiwa hesabu yake
Asante kwa kila kitu Baba, asante kwa kila kitu Muumba
Tunashukuru kwa kila hatua, siku yaja vyeo, umaarufu, ukubwa, vyote havitokuwa na maana
Eee Mola tujaalie mwisho mwema na wa kukupendeza
Tutakutana asubuhi ilo njema ๐๐