@MOSSADil They muderd this family Itentionally as a revenge. So this is an alarm on what this human kind have in their heads even now. For hamas to say a lie that bibas were killed by Usrael's air attack is another proof on how hamas will stand for what they belive as a jihad war on jews
Hivi imekuwa je huyu anakaa meza moja na mama, alafu wanametisha kabisa yani. Hata waziri tu mwenye dhamana hajametisha. Hii imekaaje kwa upande wako? @ikulumawasliano@SuluhuSamia . Mimi hii imenichanganya sana kwa kweli na sijapenda. Kama nina wivu poa tu ๐๐
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo pamoja wa wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
@bajabiri Hivi imekuwa je huyu anakaa meza moja na mama, alafu wanametisha kabisa yani. Hii imekaaje kwa upande wako . @ikulumawasliano@SuluhuSamia . Mimi hii imenichanganya sana kwa kweli na sijapenda. Kama nina wivu poa tu ๐๐
@MariaSTsehai@tanpol Task force yoyote ni Jeshi la Majambazi ambalo linakuwa na baraka ya Rais.Yaani hawa huwezi kuwagusa. Ndiyo maana unaona wanaishia kuitwa watu wasiojulikana. Hawa kwa mazingira ya sheria ya usalama wa taifa nao unaona kabisa wanalindwa na hiyo sheria. Ila cheo kimewazidi uwezo.
@ikulumawasliano jamaa alikuwa anataka hadi kumkumbatia Rais wetu kwa furaha. Sema mama ikabidi ajitahidi kumsukuma kimtindo ๐คฃ.Ila ni safi it's OK. Urais ubaki kuwa cheo tu na iwe chini ya sheria nzuri na katiba nzuri.Katiba inayomfanya rais aanze jihisi kama vile ni Mungu inaua nchi za africa
@jaliluzaid jamaa alikuwa anataka hadi kumkumbatia Rais wetu kwa furaha. Sema mama ikabidi ajitahidi kumsukuma kimtindo ๐คฃ.Ila ni safi it's OK. Urais ubaki kuwa cheo tu na iwe chini ya sheria nzuri na katiba nzuri.Katiba inayomfanya rais aanze jihisi kama vile ni Mungu inaua nchi za africa
@CharlieBihemo Hizi Picha zinafundisha mambo mengi sana Kwanza kabisa, rais ambaye ni binadamu na kwa sababu hiyo ana vinasaba vyote vya kibinadamu kama mimi na wewe, sote tunajisikia furaha na uchungu na ni haki yetu. Kwa hiyo binadamu akipewa cheo juu ya wenzake anaitaji mipaka kikatiba.
@Labella_Mafia95 Hizi Picha zinafundisha mambo mengi sana Kwanza kabisa, rais ambaye ni binadamu na kwa sababu hiyo ana vinasaba vyote vya kibinadamu kama mimi na wewe, sote tunajisikia furaha na uchungu na ni haki yetu. Kwa hiyo binadamu akipewa cheo juu ya wenzake anaitaji mipaka kikatiba.
@Sativa255 Tanzania hatuna @tanpol hili jeshi ni jeshi lililoundwa kwa mfumo wa kikoloni tupu. Hapa hakuna kitu. Hakuna kufwata Sheria na hata kwenye kufwata sheria hata kama wanaijua sheria wao wanafanya tu. Jeshi linafanya kazi kimazoea kwa sababu huo ndio msimamo wa Serikali. Hovyo
@piersmorgan Your business agendas within the club is Ending Arsenal. Remember we are living in a new error but imagine a quater of century No EPL Trophy,at all time No UEFA Champions league trophy. Trust me very soon you will start fighting just for not dropping for championship,Fuck you.