@0101DUBU Nmesoma kwa uvumilivu mkubwa sana lakn nmepata hasra mno
Huyu mwanamke kinachompa kiburi ni kaz ama nn bas mm namshauri aachane na jamaa akafanye anayojua yye ila naamn kuna siku tu atashuhudia mwenywe yatakayomkuta huko hana akili inshort anaish maisha ya kuiga
GOVI LILIVYOMUOKOA FUMBUKA WA MWANZA.
Kumbuka alishitakiwa kwa kosa la Ubakaji katika Mahamaka ya Wilaya ya Kwimba.
Jamaa alijitetea kuwa Hajatahiriwa (ana govi) wakati dada alisema ametahiriwa, kwahiyo jamaa kutokana na sababu zingine lakini Govi lilimsaidia👇👇👇
Nafahamu umewahi kusikia majina kadhaa, walikuwepo watu kama Pablo Escobar...
Walikuwepo wakina El Chapo, wakina Al Capon, Walikuwepo wakina Griselda Blanco
Lakini kuna huyu FITO—mwanaume aliyewafanya hata polisi wa Ecuador kupoteza usingizi. Aliyewafanya maafisa wa polisi kusita hata kutaja jina lake kwa sauti.
Hakutawala tu mitaa, alitawala gereza, alitawala serikali, na alitawala hofu ya watu.
Anaitwa José Adolfo Macías Villamar, almaarufu FITO, bosi wa genge la Los Choneros—mfalme wa genge lenye nguvu mno nchini Ecuador kwa miaka mingi.
Genge hili lilikuwa na mizizi yake kwenye biashara ya dawa za kulevya, utekaji, mauaji ya kulipwa, na biashara haramu za kila aina.
Chini ya utawala wake, mitaa iligeuka uwanja wa vita, huku mauaji yakipangwa kwa usahihi wa kijeshi.
Ilikuwaje kuwa mtu mwenye heshima zaidi ya wanasiasa? Na mwishowe, nani aliamua kumfuta duniani?
THREAD 🧵⬇️