@LucasKitegwe This is a small team mentality na ndio itafanya Arsenal again wasichukue kombe this season. Ukiangalia tangu baada ya mchezo ni Liverpool wanasikitika kwa kudondosha points huku arsenal wanasherehekea kwa kupata point Moja. Au mi ndio naona vibaya @George_Ambangil
@PresenterNoah Halafu pamoja na hayo yote Kuna mkono wa FIFA ndani yake ndio maana wakatuletea afrika maana sisi ndio mazombie wa majaribio na sisi tulivyo mabwege tukasherehekea. Haya wenye akili wamechomoa wamemuacha mzee perez mwenyewe na Bartomeo wake
@PresenterNoah Unajua tunaichukulia poa sana Yanga. Kumbuka hii mechi imekuwa total dominance ya Yanga hata mechi ya Ahly Medeama haqakuwa dominated hivi. Yanga style yao inawachosha wapinzani hasa first half then second unawaachia wanakufunga
@AD_Abinallah@chapo255 Racism Iko very wide tofauti yake ni levels to na majina. It goes down to family level ambapo ukiwa na watoto 2 utampendelea mmoja kuliko mwingine (favoritism) ukitaka kuoa/kuolewa utaambiwa kabila/dini Fulani hapana and it goes up that way. Ni tatizo la kitamaduni na kimfumo
@KennedyMmari Vita ya siku hizi ni propaganda Ili kupata allies. So kwenye vita hii pande zote zinafanya propaganda na bahati mbaya dini inatumiwa na pande zote 2 Ili kueneza propaganda zinazowafavor. Ili kuielewa hii vita lazima uflash Kila unachohisi unakijua then ujifunze upya