@PMathias76389@JamesFibonacci @max_zitatu Hapo kwenye B-2 ndio patakua pagumu Kuna variant yake yakuitwa Northrop Grumman-21 hiyo wanataka kuitumia 2026-27 then inaretire zipo 3 tu zikifunguliwa geti zile hapatoshi
@JamesFibonacci @max_zitatu Ndio wanapractice learning, relearning, and unlearning kwenye warfare lazma wawe mbele ya muda kuliko adui maana they customize tactics from live incidences ktk field
@zoetjesheeftX Anapita alipopita Bwana Eli Cohen au zaidi one day dunia itapata hadithi ya kustaajabisha kuhusiana na strategic espionage and counter intelligence engineered by MOSSAD