@og_outfits ulipogundua ulipaswa kuwa muwazi, ingesaidia kukufanya uonekane msafi na pengine ingekuwa suluhu ya ndoa yenu ila sasa ivi wewe na huyo mme wako wote ni wajinga🚮 na hao watoto ni kama amewaleta duniani kuwa mashahidi wa ujinga wake
@IAmHaule pako very rough lakini hio mwaka 2022 alikuwa anakunja more than 250M na juzi nilimtembelea tukawa tuapitia hesabu 🙌🏾 mwana anakuja zaidi ya 300M kila mwezi hii ni minimum…. kwahiyo wakuu kuna namna MUNGU akikufungulia na MUDA wako ukifika izo 150M ni chache👇