@upupuson@DrCyrilo Wewe kama huamini jaza mtu Mimba apafu peleka hiyo Hospital ya Wilaya ya Same utakuja unishukuru hapa mjini Hospitali za serekali lazima uwe na 200k kama n operation na kama n private mpaka 1.2M lakini wizara inaelekeza kwa serekali iwe ni bure sijui tabu inaanzia wapi
@DrCyrilo Na waliturudishia baada ya siku 3 tuoarudi nao kwa kifupi ukienda hospitali za mikoani mara nyingi kama sio zote hawana ubabaishaji kama hospital za Mjini Dar es salaam mara ulipishwe 50k mara 80-150k alafu hata risiti hawakupi za mashine wizi mtupu
@DrCyrilo Mimi nasimama kama shuhuda Mke wangu amejifungua tarehe 15/06/2023 kwa njia ya Operation kwenye hospitali ya wilaya ya SAME SIKULIPA HATA 100 Mbovu yaani ilikua Bure na huduma zilikua za kifalme zaidi niliulizwa una Mpira wa kumtandikia ndio kitu pekee walikitaka toka kwangu na