#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
@clark_clarz@baba_ake55@Adventure_36 Inawezekana mmiliki akawa mmoja, ila kila kimoja katika Simba kimekaa pale kama entity inayojitegemea, fuatilia Mo Assurance imekaaje pale, Mo Foundation, Metl/A-One product wote kuna pesa wanatoa kama wadhamini. Kisha kuna Muhammed Dewji kama mwekezaji ndani @SimbaSCTanzania
@NellyNyamandege@Fred_Waaah Sio kweli kwamba SGR lot ya Dar-Dom imekuwa supplied na Dangote japo cement ni ya ndani.
Kuna vitu kama nondo ambazo kwenye lot 2 Moro-Dom-Makutupora zimekuwa imported from Italy. Catenary poles imported from Turkey nk
@mwendambande@Jambotv_ Hakuna neno No Reform No election. Ila alichoongea ni ķuwepo kwa mabadiliko katika sheria na mchakato wote wa uchaguzi. Pia kawaasa watu kuwa makini na "kuumwa na nyoka mara mbili kwenye tundu moja" ikiwa na maana mabadiliko ili kuepuka yaliyotokea yasijirudie.