@akilnyingi Kama ni ivo kocha awe anamchezesha nambari 8 basi bro lakin kocha haoni akifaa kwenye hiyo position amini tutafute kiungo mwingine ama nafasi yake achukue pro mwingine wa nafas yoyot RB,ST ama CM
@SimbaSCTanzania Huyo Loemba itabidi mumuache hana impact yoyote sio assist sio kufunga yeye ni kuchezea mpira na madoidodoido tafuteni mchezaji anayewez kuassist ama kufunga
@RevocatusMagum1 We unakalili kweli!!! Simba ni ya kumchukua beki alieko nyakati za mwisho za mpira wake huoni hata makosa anayofanya,huoni haendani kabisa na kasi ya mchezo we nawe kumbe mbabaishaji ama unampigia chapuu??