@Justinerevo16@Abuukhuzayfah@WideEdson Si nilikupa ushindi ulioutaka au una jengine braza?mi sio mtu wa kubishana kaka,upo sahihi kwa kila jambo....niache na ujuaji wng
@BobbyKamaBobby@Justinerevo16@WideEdson Sahihi ila kwa sasa hiyo sheria imeshabadilishwa,now unasubiri miezi mitatu baada ya kukosa ajira ndio unafungua madai
@Justinerevo16@enovelist1@WideEdson Shida na ww unataka kuaminisha kuwa lililokupata ndio utaratibu au mazoea,nasisitiza labda ulikuwa na ishu tft iliyofanya uchelewe kulipwa.
@enovelist1@Justinerevo16@WideEdson Sijasema inachukua mwezi bali si zaidi ya mwezi,means ndani ya mwezi husika km hakuna shida yyte analipwa,jamaa angu alilipwa ndani ya wiki moja baada ya kuweka dole gumba
@Justinerevo16@WideEdson Inawezekana kweli ulizungushwa,hujatoa sababu za kuzungushwa kwako,pengine ulikuwa na changamoto binafsi kwenye mafao yako lkn namna ulivyoielezea ni kama unaaminisha kucheleweshwa kwako ni kwa makusudi na sehemu ya utaratibu.
@SEVENTEE1717N@meamswahili Kaka km una uelewa fafanua,maana jamaa ameomba kueleweshwa tu na sio mjadala. Ufafanuzi wako labda utatutoa ukungu hata sisi tusioelewa hili jambo jepesi.
@TinaaryS Akili ni uwezo wa kufikiri,kujifunza na kuelewa...Maarifa ni uelewa wa mambo kutokana na mfumo rasmi au usio rasmi wa kujifunza wa jamii husika na Hekima ni maamuzi sahihi yanayofanywa kutokana na akili na maarifa ya mtu.