@MurtadhwaM@ClaraFundi@Africana_bway Mzee wewe unaona mpaka ajifunge tu? Maboko anatoa mangapi ambayo tunapona kufungwa? Mechi ya simba bacca alitoa boko diarra akaokoa kwann hakulaumiwa? Ni kwasababu huwa sio kawaida yake,Hilo likapteni lenu lazima likubali kulaumiwa lisilete mambo ya kilast born