Usikate tamaa kumwomba Mungu hitaji lako. Muda wa Mungu ndio muda sahihi! Mungu atakupa kwa wakati aliopanga yeye yale yote uloomba na usiyo yaomba! God is Great!
@HildaNewton21 Huyu takataka mpaka aliniblock! Kwasababu nilikuwa najua mbanga zake. Amekaa kitapeli flani hivi. Kwenye post za ke ukimwuliza swali gumu anakublock. Hata mpaka Sasa hajanitoa block. Akili kumkichwa! Nilijua tuu huyu jamaa anachomesha huyu
Press Release Un Working Group On Arbitrary Detention Rules Detention Of Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Is Arbitrary After Amsterdam Partners Llp Application Calls For His Immediate Release And Compensation | Amsterdam & Partners https://t.co/DQPp15qiJR
—Admin
@MsigwaPeter Mkuu usipokuwa makini Mkuu utakuwa Kichekesho! Unaandika kama unaota! Tanzania hii hoja inajibiwa kwa kupigwa risasi,kutekwa,kuuawa,kubambikiwa kesi ya uongo,kufilisiwa, na mengine mengi yanayofanana na hayo! Stop your drama Babuu unless otherwise 🚮
@roxie_ug This is not humanity or kindness,it is very risky! It is very dangerous! The wheelchair wasn't designed for high speed like this! Accidents may occur and cost life
@swahilitimes Ya October 29 hayawahusu nyie viongozi,wanasiasa na rais wa chama cha wanasheria kwani Familia zenu hazikuguswa. Watoto wenu,wake zenu na ndugu zenu hawakuuwawa! Hivyo basi sisi ambayo tumepoteza ndugu zetu,hili halifutiki akilini mwetu,labda mtuue wote Ndo mtafuta hili!
Hii ni jana mbunge wa mchongo Joseph Msukuma kamchapa kibao muwekezaji.
Soon wauwaji wote watachanganyikiwa maana damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi hazitawaacha salama.
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.