@VodacomTanzania nina swali, kuna audio inasambazwa kuwa mkoba accounts zitakuwa blocked. naomba ufafanuzi sahihi ili kutuondolea shaka sisi wateja wa vodacom
Biashara ya forex ni kama vile mchezaji wa mpira unahitaji muda wa kuboresha kile unacho fanya kila siku
Muda wote unahitaji kufanya kilicho bora zaidi ya jana kila muda unahitaji kuwekeza kilicho bora
Tafuta timu nzuri na mwalimu mzuri utafikia malengo
#forex
Skiaa ilee 900 ipo apaa saiv.
Kwa kwa kutuliaa uzii wakee utaendelea ijumaa nashushaa uzii apoo wa maana
You wana bounce like mee
Trade with zombio mnymaa 👽👽
@DizoFx Kijana uko vizuri sema tu uko kwenye taifa ambalo kila mtu anataka ufalme especially mtu akianzisha kitu atataka aonekane anajua Zaid ya wanaofuata
@VodacomTanzania Nahitaji ujumbe wa aina hiyo ili ni screenshot halafu nitume mahali husika nipate huduma kwao, hadi sasa nashindwa kufanya hivyo. Je ni kweli ujumbe wa aina hiyo hautumwi wa mara nyingine?
@VodacomTanzania mhudumu, nilifanya muamala wa pesa tarehe 28/9/2023 sikuupata ujumbe wa uthibitisho wa mpesa kiwa nimefanya muamala. Sasa, nahitaji hiyo sms, ya uthibitisho wa M-PESA
Imethibitishwa........Nimewapigia simu hamnielewi, mnanitumia text isiyo na ujumbe wa style hiyo.
@VodacomTanzania utambulisho wa msaidizi? msaidizi ndo nani? shida yangu, ni kutumiwa meseji ya KI MPESA, IMETHIBITISHWA ...... kwa kuwa sikuipokea hiyo meseji baada ya kufanya malipo. meseji mnazonitumia, hazipokelewi ninakotakiwa kuwasilisha screenshot ya muamala.