🦅SIMU LAINI 1 na SIMU LAINI 2 FAIDA/HASARA

🧵🧵🧵
Habari za jioni ?
Ukiwa umetulia na jioni yako ,mtu wako nakuletea huu uzi wa simu ipi ni nzuri kati ya inayotumia laini moja(single) au laini mbili(dual ) afu kwa lugha yetu kabisa ya kiswahili ,
🦅UNAJIULIZA UNUNUE IPI KATI YA iphone NA Android ?
🧵🧵🧵
Umekwama kufanya maamuzi ?kwamba ununue simu ipi kati ya iphone wanaotunia operating system ya ios au kina Samsung,Google pixels,xiaomi,poco, na zingine zote ambazo zinatumia operating system ya Android
Andika sehemu ya search kwenye file explorer .ASD na file lako utalipata hapo na litakua na title mara nyingi hua ni maneno ya kwanza kuyaandika kwenye hio document
Utaipata kwa kufata mtililiko huu
This PC/My PC >>File explorer >> kwenye ki box cha search andika neno .ASD
🦅UMEFUNGA KWA BAHATI MBAYA DOCUMENT BILA KU SAVE KWENYE microsft word !
🧵🧵🧵
Mfano una type kitu kwenye Microsoft word na kwa bahati mbaya computer ikazima au ukaifunga (close) hio document kwa bahati mbaya na hujuweka autosave ,usipanic relax kwanza afu 👇
Andika sehemu ya search kwenye file explorer .ASD na file lako utalipata hapo na litakua na title mara nyingi hua ni maneno ya kwanza kuyaandika kwenye hio document
Utaipata kwa kufata mtililiko huu
This PC/My PC >>File explorer >> kwenye ki box cha search andika neno .ASD
Haya hapa Matambala 100 ya kuangalia weekend hii
Top 100 military movies of all time.
1. Saving Private Ryan (1998)
2. Apocalypse Now (1979)
3. Full Metal Jacket (1987)
4. Platoon (1986)
5. Black Hawk Down (2001)
6. Das Boot (1981)
7. The Thin Red Line (1998)
8. Paths of Glory (1957)
9. Hacksaw Ridge (2016)
10. 1917 (2019)
11. Dunkirk (2017)
12. Patton (1970)
13. Gallipoli (1981)
14. We Were Soldiers (2002)
15. Bridge on the River Kwai (1957)
16. The Deer Hunter (1978)
17. The Hurt Locker (2008)
18. Letters from Iwo Jima (2006)
19. Zulu (1964)
20. Black Book (2006)
21. Stalingrad (1993)
22. The Battle of Algiers (1966)
23. The Longest Day (1962)
24. The Bridge at Remagen (1969)
25. Zero Dark Thirty (2012)
26. Jarhead (2005)
27. The Patriot (2000)
28. Tora! Tora! Tora! (1970)
29. Master and Commander: The Far Side of the World (2003)
30. Enemy at the Gates (2001)
31. Glory (1989)
32. The Great Escape (1963)
33. All Quiet on the Western Front (1930)
34. The Wind That Shakes the Barley (2006)
35. Lone Survivor (2013)
36. Kelly's Heroes (1970)
37. The Green Berets (1968)
38. The Alamo (1960)
39. The Messenger (2009)
40. 13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi (2016)
41. 12 Strong (2018)
42. The Last of the Mohicans (1992)
43. The Pianist (2002)
44. Rescue Dawn (2006)
45. The Beast of War (1988)
46. A Bridge Too Far (1977)
47. Behind Enemy Lines (2001)
48. Inglourious Basterds (2009)
49. The Boys in Company C (1978)
50. Red Tails (2012)
51. Battle for Haditha (2007)
52. Courage Under Fire (1996)
53. 5 Fingers (1952)
54. Company of Heroes (2013)
55. The Finest Hours (2016)
56. Windtalkers (2002)
57. Battle of the Bulge (1965)
58. The Nightingale (2018)
59. A Midnight Clear (1992)
60. Attack on the Iron Coast (1968)
61. Sergeant York (1941)
62. Empire of the Sun (1987)
63. The Pacific (2010) - Mini-series
64. The Desert Fox: The Story of Rommel (1951)
65. The Pacific (2010) - Mini-series
66. Enemy at the Gates (2001)
67. The Monuments Men (2014)
68. Days of Glory (2006)
69. Fires on the Plain (1959)
70. The Steel Helmet (1951)
71. Battle of the Damned (2013)
72. Memphis Belle (1990)
73. Crimson Tide (1995)
74. Attack on the Iron Coast (1968)
75. Sergeant York (1941)
76. Empire of the Sun (1987)
77. The Pacific (2010) - Mini-series
78. The Desert Fox: The Story of Rommel (1951)
79. Enemy at the Gates (2001)
80. The Monuments Men (2014)
81. Days of Glory (2006)
82. Fires on the Plain (1959)
83. The Steel Helmet (1951)
84. Battle of the Damned (2013)
85. The Longest Day (1962)
86. The Bridge at Remagen (1969)
87. M*A*S*H (1970)
88. Jarhead (2005)
89. The Patriot (2000)
90. Tora! Tora! Tora! (1970)
91. Master and Commander: The Far Side of the World (2003)
92. Glory (1989)
93. The Great Escape (1963)
94. All Quiet on the Western Front (1930)
95. Platoon (1986)
96. Come and See (1985)
97. Hamburger Hill (1987)
98. The Red Badge of Courage (1951)
99. Born on the Fourth of July (1989)
100. Fort Apache (1948)
🦅KILICHO NYUMA YA CAMERA ZA Google pixel
🧵🧵🧵
Kwa sasa tukizungumzia simu zenye budget ndogo na zenye camera yenye ubora wa hali ya juu duniani,basi jina GOOGLE PIXEL huwezi acha kulitaja ,hawa jamaa sijui walitokea wapi maana kipindi sisi tunakua miaka ya 2000s simu zenye camera nzuri zilikuaga ni mbili tu (Samsung na iphone ) ila kwa sasa hao wote wakalale
,The beast Google pixel pesa kidogo unapata Picha za kuombea mkopo benki
Hawa jamaa walianza uwekezaji kwenye Camera mwaka 2016 ,kabla ya hapo walikua na simu za nexus ambazo ziliuzwa kwa kiwango kidogo sana na ni baadhi tu ya maeneo
Sasa huu mwaka 2016 wakasema ngoja tuishangaze dunia maana watoto wadogo tumewapa muda naona wanacheza cheza tu ,
Wakaja na simu yenye uwezo mkubwa sana wa kupiga picha kwenye mazingira magumu nazungumzia mazingira ya usiku wakaja na feature inaitwa NIGHT SIGHT MODE 🔥🔥🔥
Haya ni matoleo yao toka mwaka 2016
Google Pixel na Pixel XL (2016)
Pixel 2 na Pixel 2 XL (2017)
Pixel 3 na Pixel 3 XL (2018)
Pixel 3a na Pixel 3a XL (2019)
Pixel 4 na Pixel 4 XL (2019)
Pixel 5 (2020)
Pixel 6 na Pixel 6 Pro (2021)
Pixel 6a (2022)
Pixel 7 na Pixel 7 Pro (2022)
Pixel 7a 2023)
Pixel 8 na Pixel 8 Pro (inakuja mwezi wa kumi 2023)
Hawa jamaa wamejikita kwenye Software za camera sana tofauti na kampuni zingine ambao wenyewe ni kuongeza Megapixels tu kila kukicha 😅 na kwa sasa simu yenye megapixels nyingi kupita zote ni motorola wana mpaka 200MP
Focus ya Google pixels ni kupiga picha kwenye nyakati ngumu ambazo samsung na iphone hawakua na akili hiyo zamani hizo ,na ndio maana Google pixel haijalishi ni mazingira gani unapigia picha ni itaku surprise tu 😀
Cha zaidi hawa jamaa wana Google tensor chip ni processor ambayo iko very fast kwenye ku process picha lakini pia wana Artificial Intelligence assistant ambayo inafanya kazi sawa tu na zile editing softwares kama photoshop ,kwaio baada ya kupiga picha na google pixel ni inapitia hatua zifuatazo
👍🏿Intelligent exposure-hii feature inasawazisha mwanga sehemu zote katika picha
👍🏿 Face Unblur - hii yenyewe ni kama ulicheza kidogo na picha ikawa blured basi hii feature inarekebisha
👍🏿Real tone -hii feature yenyewe ni kwa washikaji ambao rangi yao ni waafrika sana sasa inafanya ku adjust rangi sehemu zote ili mtu aonekane
👍🏿Night sight - sasa hapa ndo maana ya kuitwa google pixel aliyezaliwa kupiga picha usiku
👍🏿Motion mode - hapa ni unapiga picha za mtu au kitu kilicho kwenye motion bila kuharibu shape ya iko kitu
Na hivi vyote ni ndani ya sekunde tu kadhaa inakua ishamaliza
Hizi features tulizoea kuziona kwenye dslr cameras tu ,cha nyongeza ni hiki
Hawa jamaa simu zao zinapata updates kwa wakati na ni kutoka directly google kama ambavyo iphone anapata kutoka apple directly
@CoxstoreTz Naomba radhi kwa yeyote niliyemuumiza au kumkosea 2022, mimi ni binadamu, sijakamilika, hopefully tutaanza 2023 kwa amani, afya na furaha isiyo na kikomo.
🦅Heri ya mwaka mpya mapema!Cx
Nakukubali sana Binamu yangu Emma naonyesha upendo wangu kwako kwa kujishindia simu kali toka @TecnomobileTZ ikusadie katika shughuli zako za ufundi ujenzi kwa kupost bidhaa zenye quality halisia
#SambazaFuraha na @TecnomobileTZ
🦅SKILLS 5 ZA TECHNOLOGY HUTAKIWI KUMALIZA CHUO BILA KUZIJUA
🧵🧵!
Hivi unajua kwa sasa tulipofikia hakuna umuhimu wa kua na simu yenye storage kubwaaa 😀😀
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kukicha kuna tech skill mpya inakua imezaliwa kwa lengo la kurahisisha maisha