@QSizya@Nindi_Jr Ina feel kam ni tangazo la series nyingine ya Vought Rising. Pia, imebaki episode moja ila stories za so many characters zipo hanging kama Stan Edgar, Marie, Ryan nakadhalika
Nionavyo mimi!!
Tunao Rappers/Mcโz
and HipHop heads wazuri wengi tu!
Lakini ni wazuri tu kwenye ufundi wa kucheza na maneno tu, kupanga vina na flow tamu!!
Lakini hupati exactly maana ya anacho-rap!!
Ni kama anacho rap hakina maana au you canโt relate na maisha ya msikilizaji!!
Unakuta mtu anarap
Mfanoโฆanaweza akasema
๐ฃ๏ธ Midondoko,Mikongโoto,Misokoto
yetu kanga moko/
Dry peku kama mpoto, masai yechu
hii namba nyoko/
Ukimsikiliza na alivyonata na mdundo utapenda, BUT YOU CANT RELATE!!
Ni kundi dogo sana linaweza relate na ulichosema
(Wasanii wenzako na wenye ndoto za kuwa wasanii)
Ni lines zinaweza kuwa tamu lakini hata yeye ukimbana kwa interview afafanue alimaanisha niniโฆ..
HE CANT!
Ataishia tu kusemaโฆ.
Si umeona hiyo Dry Peku, halafu kule mwanzo nilisema misokoto!
Kwahiyo misokoto ๐ฌ yani dryโฆ.yani peku๐โฆ.halafu Mpoto si ndoโ anatembeaga peku na rasta zake kama misokoto๐ YANI HIZO NDOโ METAPHORโs kaka!!
Skillz za rap hizo!!
Ndio kashafafanua hapo kamaliza!!
Haya we umemuelewa!??๐ค๐คท๐ฟ
Wito wangu, tengeneza maudhui (Content) ya nyimbo ambayo audience can relate with!!
Hasa na maisha yao ya kila siku, iwe mapenzi,bata,siasa,inspiration.
Na uiandike katika namna msikilizaji anaweza kuvaa uhusika!!
Utapata fans wengi, utasikilizwa na watu wengi na fanbase yako itakuwa!!
Ukiendelea na hizi za
michomoko, miporomoko/
Tamathali za semi, na stanza sijui za banza kama stone na jiwe ndo magu chato/ na iwe manjagu couple!!
Hizi watasikiliza tu kundi chache la wanaopenda Rap au wenye ndoto za kuwa Rappers!!
Ndio maana Rappers wa dizain hii wengi wana struggle kupata fanbase kubwa, coz wanawaimbia wasanii wenzao na sio mashabiki!!
Hakikisha Rap yako
anaweza aka relate Mtoto/
Mama mtu mzima/Muhuni/Sista du/Padre/Ustaadh/Kiongozi/Babu/Bibi
Hadi shabiki ambaye hafatilii muziki, Kama Padre anaweza sikia line moja na aka relate na maisha yake!!
NA HIYO NDIYO HIP HOP!!
Tusiwajaze sana vichwa hawa na kuwaambia wao ni wakali sana, kwa sababu tu wanaweza kucheza na maneno wakatengeneza vina!!
HipHop/Rap Hakikisha inaleta maana!!
GUSA MAISHA YA WATU!
Leo nimepita sehemu ya mapombe, kumbe huwaga wanaweka maswali ya hesabu. Nime solve pale haraka haraka nimepewa kinywaji. Ukija twende niwe na solve, wewe unakunywa @gabyconscious
Kuna hii Project tumekaa nayo ndani mwaka na mdogo wangu @nathaniel_codes Jana imefika 90% sasa janja namwambia achague 5STAR hotel yoyote tujipongeze anasema tuchill ghetto tu!๐คฃ
Kuna hii Project tumekaa nayo ndani mwaka na mdogo wangu @nathaniel_codes Jana imefika 90% sasa janja namwambia achague 5STAR hotel yoyote tujipongeze anasema tuchill ghetto tu!๐คฃ
Ndio maana ukitaka kazi yako ifanywe kwa industry level standards. Inabidi ufanye kazi na sisi. Ila kwanza, kindly check our website for quotations:
https://t.co/zbMeUUoFBM
Mtu anauza mabando ya mtandao wa Orange naye anajiita IT! ๐ Au mtu akiweza tu ku upload video YT tayari anajiona IT expert. Hii tabia inaharibu soko maana inaonekana Bongo hatuna wataalamu wa kweli wakati watu wapo tele. ๐งต๐
Kisha kuna Engineer ambaye ana build hizo systems from scratch (nowadays with A.I). Engineer anatengeneza misingi ambayo kama itahitaji technical knowledge kidogo basi IT person atakusaidia. Ukikosea level utaishia kupata rookie mistakes za ajabu! ๐ซ๐ฅ