@HildaNewton21 Badala mpate picha inayoonyesha sura yake kwanza ndio mpost mmekuja kupost hii inayofanana na ya nyuma.
Asa hii inasaidia nini Bado inabakia vile vile hajulikani ni nani
@xlusako Gari zilitengenezwa kwaajiri ya matumizi kwa nchi zenye baridi, huko zimetumike na zinatumika vizuri. Shida sio wao ni sisi na gavo yetu kuruhusu
@daktariwawatoto Kila PC Ina drivers zake hakikisha unadownload drivers za PC yako kabisa, jina kamili la PC na namba yake iwepo. Utakuwa umeona sehemu ya kuweka product I'd hakikisha umeweka na imekuja na jina la PC yako kabisa. Download drivers zote kwenye category ya sounds afu install zote
@swahilitimes Hii ya kusema tulikuwa sokwe sijui tulitoa wapi. Sokwe ana evolution yake iliyomfikisha hapo na sisi tulikuwa tulikuwa na yetu iliyotufikisha hivi tulivyo, Mtu kabisa kavaa suti ila anaongea kama mtoto wa la tatu