@SuluhuSamia Hongera Mhe Rais Kwa ziara nzuri Nchini Urusi. Ninaomba nafasi kwenye sector ya miundombinu nami niweke nguvu na akili yangu katika kuijenga nchi yetu
@SuluhuSamia Hongera sana kwa kazi nzuri Mhe Rais wetu, MUNGU azidi kukutia nguvu katika kuliongoza taifa letu. Ninaomba mwaliko wako nikutembele nitoe mawazo yangu.
@SuluhuSamia Ziara Njema Mh Raisi ninaomba ukirudi nyumbani uniweke kwenye miradi ya babaraba kwa ajili ya usimamizi kupitia wakala wa Barabara Tanzania