@swahilitimes Ni sawa lkn sasa hvo visima vitajichota maji maana hapo ni lazma uwe na kidumu au ndoo ili uchote maji maana ata mm mesoma shule ya kwenda na kidumu na mfagio lkn ukiwa shule ndo unachota maji hukohuko shule sio kwamba unabeba maji toka nyumban
@sajo_mwaihabi Tunauza vifaa cya umeme pamoja nakufanya wiring and designing ya taa kuanzia ndani fance na garden tupo TABATA KINYEREZI KIFURU 0710803738 ENG MWASUMBI
@PabloYende Lakin mbn hyo ina chakula kizur niww tu ulikosea kuagiza kuna matoke unayajua alafu kuna sehemu wanapka kitomoto Saf sanaa karbu na victoria mall pale Nenda Ethiopia sasa kule ndo amna chakula ata hcho kibaya upati