Let go of your past-it's the only way to open up your future. Holding on to what's behind you only slows you down. Growth happens when you release what no longer serves you and make space for new opportunities. Move forward with clarity and purpose.
#MSHAMBAWABARIADI🫵
Tulikubaliana kuanzia hatua ya Nusu fainali ya kombe la FA mechi zitachezwa kwenye NEUTRAL GROUNDS tena ikapendekezwa hasa kwa mikoa ambayo haina timu za light kuu ili kuleta hamasa na muamko kwenye maeneo Hayo pia kuwafikishia burudani ambayo sio rahisi kwao kuwafikia
Hili kombe la CRDB BANK Federation cup lipo chini ya TFF nipo hapa najiuliza why fainali ikachezeke Zanzibar ambapo kuna shirikisho lingine la soka,je tutamhamasisha Nani ikiwa timu za Kule hazishiriki ligi yetu?
Hii ni sawa na FAINALI YA UEFA ikachezwe Marekani(HAIKUBALIKI)
Gharama za shabiki kwenda na kurudi Pemba+ tickets na accomodation kwa ujumla sio chini ya 150k,je kweli tutapata mashabiki? Je wadhamini mtakuwa mmewatendea haki kupeleka mechi sehemu ambako hakuna mashabiki!????
Kitu pekee TFF ambacho hamjawahi kusahau ni kukusanya tu malipo ya faini🚮🗑️
Kibongo bongo ndo yaleyale ya “best couple yang bora ni Beyonce na Jay Z” wakati muda huo wazazi wake wana miaka 40 kwenye “ndoa ya bila vikwazo”
Hatujalelewa ku-appreciate locals
At FC Barcelona, we would like to express our support for all the victims and those affected by the earthquake in Venezuela.
We wish to convey our solidarity with the Venezuelan people and stand with them during these very difficult times.
🚨 Pedri: “I love Julián Álvarez. I hope he joins Barcelona, I hope the deal happens”.
“He’s among the best players and we want the best at Barça”, told RTVE. 🔵🔴
Julián Álvarez wrote a birthday letter to Leo Messi. 🩵🤍
“To you, who changed our lives, who gave us unforgettable moments, who 𝐦𝐚𝐝𝐞 𝐮𝐬 𝐛𝐞𝐥𝐢𝐞𝐯𝐞 𝐭𝐡𝐚𝐭 𝐝𝐫𝐞𝐚𝐦𝐬 𝐚𝐫𝐞 𝐩𝐨𝐬𝐬𝐢𝐛𝐥𝐞…”.
“The best part wasn’t watching it, it was living it with you!”.
“𝐇𝐚𝐩𝐩𝐲 𝐁𝐢𝐫𝐭𝐡𝐝𝐚𝐲, 𝐂𝐚𝐩𝐭𝐚𝐢𝐧. 𝐖𝐞 𝐥𝐨𝐯𝐞 𝐲𝐨𝐮”.
“May you be immensely happy!” ❤️🇦🇷
🚨Shirikisho la soka la Malta limepitisha usajili wa Charles M’mombwa 🇹🇿 ndani ya Żabbar St. Patrick kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya Floriana licha ya Floriana kulalamika kuwa bado wana mkataba nae
✅ Juni 29, Charles ataanza mazoezi na timu yake mpya.
Masuala ya michezo si mambo ya muungano ndio maana kuna Tff na Zff pia kuna Taifa Stars na wao wana Zanzibar hero’s, pia sisi tuna ligi kuu na wao wana ligi kuu yao.
Hili suala la kupeleka mechi za Bara visiwani linaleta ukakasi sana ila ndo hivyo hakuna wa kuhoji kila mtu analinda mazaga yake.
DR Congo's famous 'statue' fan Michel Nkuka Mboladinga has arrived for his country's big match against Colombia 🤩
His stance mirrors the memorial statue of his country's first prime minister Patrice Lumumba in the capital Kinshasa 🇨🇩
🚨 UPDATE ✍️
JSK Kabylie 🇩🇿 imeachana na winga Ecua Celestin (24) 🇹🇩 na imesitisha kipengele cha kumsajili moja kwa moja kutoka Young Africans 🇹🇿
Ecua na Young Africans watakaa mezani ili kusitisha mkataba wake.
🚨🇦🇷 Leo Messi: “I honestly don’t play thinking about how old I am but rather about how I feel physically”.
“From there, I just try to give my maximum, regardless of my age, and give everything I have. The truth is that I feel physically good”.
Agreement for the transfer of Iñaki Peña
FC Barcelona and Panathinaikos FC have reached an agreement for the transfer of the goalkeeper to the Greek club