AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
Kusherekea KIFO CHA LUKUVI leo naachia TRENI za games za kimataifa KITUO ISIMANI jimboni kwake kumamake
Wawekezaji MWAGA MOTO KUMAMAKE LUKUVI KAFA KUMAMAKE.
Treni letu la odds 1,530 pale Sportybet limekamilika.
Option ni corner 6.5 & 7.5, Magoli over 1.5 na 0.5. Jumla mechi ni 50
Buku 10 unakula 15.2Million
RETWEET UPEWE CODE MAPEMA
WhatsApp Group no 1⤵️
https://t.co/cx91hZudGP
WhatsApp Group no 2⤵️
https://t.co/d0qg1gUIqt
🍹
🔥🔥 Hakuna kurudi nyuma ama kupumzika ‼️
Maandamano bila kikomo #J1
Inaanza Dec 31 mkesha
Safari hii vipeperushi ni kwa mkono tusaidiane kuandika na kusamabaza namna hii! 💪🏽
Wameshaanza wenzetu - unahitaji peni, karatasi BHAS!
Let’s gooo 🔥🔥
#J1#SamiaMustGo#tumeshinda🇹🇿
Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko.
#FreeNicodemusLoyore#FreeNicodemusLoyore
Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko.
REPOST 200
#FreeNicodemusLoyore#FreeNicodemusLoyore#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Huyu kijana anaitwa Nicodemus Julius Loyore ni miongoni mwa Vijana ambao walifanyakazi kubwa sana kwenye Maamdamano ya Oktoba 29.
Hii video alipost kwenye ukurasa wake wa Tiktok siku ya Oktoba 29 kwa ajili ya kuhamasisha Gen-Z wenzake.
Disemba 19, 2025 Nicodemus alivamiwa ofisini kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na George Bagyemu ambae ni msaidizi wa Mafwele wakamteka kisha wakaondoka nae mpaka sasa hatujui wamempeleka wapi.
Tunatamtaka George Bagyemu na Mafwele watuambie huyu kijana wamempeleka wapi.
Repost 200
#FreeNicodemusLoyore
#TUTAKUWEPO🫵😎