BRAZA SIDE kuwa Shabiki wa Yanga Afrika wala sio tatizo, Mwanza kuwa na Mkuu wa Mkoa ambaye ni Yanga wala sio tatizo kwakuwa Katiba inaruhusu uhuru ikiwemo huu wa kuchagua utakacho, Mimi sina tatizo kabisa na Brother kuwa RC lakini pia kuwa Shabiki wa Yanga kama ambavyo Viongozi wengine ni Mashabiki wa Simba.
Tatizo lililopo hapa ni suala linalolalamikiwa na SIMBA, sasa Simba wametoa upande wao na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wametoa upande wao, nadhani lengo ni kupata suluhu nadhani iundwe TUME HURU ifuatilie suala hili kwa undani kisha haki itendeke wala asionewe Mtu, Simba wanasema upo ushahidi upokelewe na RC kama ana ushahidi upokelewe na Kamati huru.
Hii ni kwa ajili ya manufaa ya mpira wa miguu lakini pia Utawala wa sheria, Mkuu wa Mkoa ni Mteule wa Rais na Simba ni timu ambayo ipo chini ya Jamhuri ambapo Mkuu ni Rais, sote ni Ndugu hatupaswi kugombana, haki ipatikane na aliyekosewa aombwe radhi na kama kuna aliyechafuliwa basi asafishwe, mwisho wa siku Football Wins.
Hii inapaswa kuwekwa sawa kabisa maana Tanzania kuna Mashabiki wa timu mbili tu, Simba na Yanga! Hofu yangu siku unaenda Mkoa ambao Shabiki ni Simba halafu mfano Yanga ikatokea kama hivi, matokeo yake tunajenga taswira tofauti! Hapa TUME HURU itupe mbivu na mbichi na maisha yaendelee lisipite kimya kimya.
SIMBA ana haki popote pale lakini pia ana wajibu wake popote pale, RC ana Wajibu wake popote pale ila analindwa na MIIKO ya Uongozi popote pale, tukae kati kwa maslahi ya mpira.
MKULIMA.
@rollymsouth Hapo ni kuangalia mwenendo wa vijana lifestyle zao na kupeana elimu na kufungua fursa mpya na kutatua changamoto zinazo tukabili vijana kwa ujumla
Kuna wakati unaweza ukawa sehemu Ina WIFI na Ungependa kudownload Movie zako Chap chap
Tumia website hizi kupata MOVIES na SERIES MPYA au za ZAMANI Bure na Bila kujisajili.
Thread π§΅
Repost π
Bookmark π
Follow @techygaspar
Shuka nayo ππΎ
*Leo Turudi shule kidogo kwenye Biology*
NAMNA YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI
Thread π§΅
Ili kujua siku nzuri ya kupata mimba au kuepuka ni lazima kwanza ujue siku ya KILELE BUKUKU (productive/fetal day) kwa maana kwamba ujue siku ambayo huitwa SIKU YA KUMI NA NNE.
Rafiki napenda mtambue kuwa wanawake mnatofautiana katika swala la urefu wa mzunguko wa hedhi (menstrual periods) yani idadi ya siku ya kwanza ya period mpaka hedhi ya pili, wanawake wengi huwa mnaangukia Kwenye tarehe 22-35 ingawa wapo walio kawaida wanachukua siku 28
Vilevile wengine Wana mizunguko miwili yani mfupi na mrefu hivyo walio na mzunguko mfupi mathalani wale wenye siku 22 huwa Wana kipindi kifupi cha utokaji damu yan damu inaweza kukatika ndani ya siku mbili huwa ni tofaut na mtu mwenye mzunguko wa siku 31- 35 kwani wao huwa na kipindi kirefu cha utokaji damu.
JE, UNAIJUA SIKU YA MIMBA???
watu wengi huwa hatujui na kuishia kuchemka katika swala hili la mzunguko wa hedhi na kutambua siku ya mimba ni ipi wao hufikiri siku ya mimba ni Ile siku ya kumi na nne baada ya Dalili za kwanza za damu, wao huhesabu kuanzia Ile siku damu ilipoanza kutoka hadi siku ya kumi na nne, kwa utaratbu huu wengi wanaanguka hii ni kwasababu wanawake Wana mizunguko tofauti kwa urefu hivyo basi nakuelekeza ili ujue siku ya mimba ni ipi
Kwanza inabid ujue mzunguko wako ni upi??? Yan mfupi /mrefu /wa kawaida. Baada ya kujua urefu wa mzunguko wako chagua (pin - point) yani siku Ile ya mwisho halafu uhesabu kurudi nyuma (backwards) siku kumi na tano kuanzia siku Ile ya mwisho yani siku kumi na tano kuanzia mwisho ndio siku ya mimba, hapa namaansha ukishafahamu siku ya kumi na tano kutoka mwisho hukuwezesha kufaham siku ya kupata ujauzito
Kwa utaratibu huu mdogo msomaji utagundua karibia wanawake wote au wewe mwenyewe unatumia njia za Zaman ambazo huwafaa watu wenye mzunguko wa siku 28 tu hivyo nakupa mifano Hai jinsi ya kutumia kalenda kwa mizunguko yote.
1. MZUNGUKO WA SIKU 28
Tengeneneza kalenda yako ya siku 28 yani hivi 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28
Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 28 mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (14th) day sasa hiyo ndio siku ya kubeba mimba kwa mwanamke yoyote mwenye mzunguko wa siku 28 Lakin kwakua kipindi cha ovulation kinaanza siku ya 4-5 kabla ya ovulation na humalizika masaa 24-48 hivyo unapaswa kujikinga kuanzia tareh 12-16 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24-48 baada ya kujamiiana,
kumbuka :siku ya kwanza ndio siku unayoanza kubreed
2. MZUNGUKO WA SIKU 22
Tengeneneza kalenda yako ya siku 22 yani hivi
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22, Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 22 kurudi nyuma mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (8th)hivyo siku hiyo ni siku ya hatari kubeba mimba ila kwa kuangalia ovulation inabid ujikinge kuanzia tarehe 6-10 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa muda wa masaa 24-48 kumbuka tareh moja ndio siku unayoanza kubreed
3. MZUNGUKO WA SIKU 35
Tengeneneza kalenda yako ya siku 35 yani kama hivi
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32,33,34,35. Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 35 kurudi nyuma mpaka sku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (21th)hivyo hiyo siku ni ya hatar kubeba mimba ila kutokana na ovulation inabid uanze kujizuia kuanzia tareh,19-23 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24-48 baada ya kujamiiana
4. MZUNGUKO USIO WA KAWAIDA WA SIKU KUMI NA TANO.
Mara nyingi Watu Hawa huwa na mzunguko wa siku 15-18 Hawa huwa na wa kutokushika mimba hivyo kwanza tengeneneza mzunguko wa siku zako
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15 Kisha Anza kuhesabu kuanzia 15 kurudi nyuma mpaka ufike siku kumi na tano.
Inaendeleaaaa Chini π